Atafanikiwa kama kina Ali na Omary Bongo??Naona mzee anaandaa mazingira
Umesoma nae huko Inglandi??Nilisoma nae alikuwa ni mpole saana
Mkuu Africa hii ni bara la ajabu mno, mtoto huyu ameshazogezwa kwenye pie ya taifa, aliosoma nao primary wanasota, kama haupo kwenye mzunguko inabidi ufanye kazi ya ziada kupata mkate wa asubuhi, naona president kagame yupo comfortable kulindwa na mwanae!!Hajiamini mzee hadi anataka alindwe na mtoto wake au anaenda kumlinda nani?
Baba yake hajiaminiAnaitwa Ian Kagame (Luteni Usu)
Mtoto wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kwa sasa rasmi amejiunga na kikosi cha Ulinzi wa Rais wa Nchi hiyo (PSU).
Hivi karibuni (mwishoni mwa Mwaka 2022) Ian alihitimu mafunzo yake ya Kijeshi katika Chuo cha Royal Military Academy, Sandhurst, nchini Uingereza, moja ya vyuo mashuhuri vya kijeshi Duniani.View attachment 2484407View attachment 2484408View attachment 2484410View attachment 2484411View attachment 2484412
[emoji3][emoji3][emoji3]of all places,why vikindu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wapi Vikindu?
Achukue mara 2Au dogo ndo anaadaliwa aje achukue Country..???