Anaitwa Michael Babatunde wa Waydad ac.....

ze-dudu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
17,640
Reaction score
22,748
Chama langu Simba huu ndio usajili mpya ama.....

Chama kwa mfumo ule atatuchelewesha sana....maoni tu msinipopoe

Kolo umekuruouka huyo sio anaitwa udoh ni mchezaji wa akwa United kwa sasa.

Msijihaulishe kuwa mmechukua akina shibubu ambao hawana Team hata za mchangani
 
Inaonekana kabisa Umri ushamtupa mkono.
Yaani ni Kikongwe
Majimama wa siku hizi hamna adabu kabisaaa! Simba wanatafuta watu wa mpira wewe unataka wakuletee tu vijana hata kama ni magalasa ili mradi tu upate wa kudanga nae.
 
Hapo tumeokota bigijii iliyoisha utamu na kutupwa
Ndo yale yale ya akina Lokosa
 
Majimama wa siku hizi hamna adabu kabisaaa! Simba wanatafuta watu wa mpira wewe unataka wakuletee tu vijana hata kama ni magalasa ili mradi tu upate wa kudanga nae.
Naona umejiridhisha kuwa huyo ni mchezaji hatari sana.
Hadi umetoa povu jingi namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…