Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unataka kutuambia kwamba huyu jamaa kwa vyenga ni kama masai na lubega?Uyo Babatunda nimemcheki kule youtube highlits zake hamu ya kula ikanisha kwa zile chenga zake za maudhi.
Hata man Onyango mlisema hivi hivi lakini angalieni anavyowatoa ulimi kama mbwa uwanjaniInaonekana kabisa Umri ushamtupa mkono.
Yaani ni Kikongwe
Majimama wa siku hizi hamna adabu kabisaaa! Simba wanatafuta watu wa mpira wewe unataka wakuletee tu vijana hata kama ni magalasa ili mradi tu upate wa kudanga nae.Inaonekana kabisa Umri ushamtupa mkono.
Yaani ni Kikongwe
Mungu anakuonaUyo Babatunda nimemcheki kule youtube highlits zake za karibuni hamu ya kula ikanisha kwa zile chenga zake za maudhi.
Huyu ni Chikwende mpya.Uyo Babatunda nimemcheki kule youtube highlits zake za karibuni hamu ya kula ikanisha kwa zile chenga zake za maudhi.
tupe clips mkuuUyo Babatunda nimemcheki kule youtube highlits zake za karibuni hamu ya kula ikanisha kwa zile chenga zake za maudhi.
mlete mchezaji wako sasaHuyu ni Chikwende mpya.
Naona umejiridhisha kuwa huyo ni mchezaji hatari sana.Majimama wa siku hizi hamna adabu kabisaaa! Simba wanatafuta watu wa mpira wewe unataka wakuletee tu vijana hata kama ni magalasa ili mradi tu upate wa kudanga nae.
Unamuondoa Wawa unamleta wa 32?Timu yangu inasajili wastaafu