Anaitwa Queen of Darkness ndie awapae nguvu za Giza wasanii wakubwa

Anaitwa Queen of Darkness ndie awapae nguvu za Giza wasanii wakubwa

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
1,497
Reaction score
2,681
Kuna watu wanajiulizaga zile nguo za ajabu ajabu za wasanii katika majukwaa na safari za kimataifa wanazitoaga wapi au wanaiga wapi? Ukweli ni kwamba fani ya mitindo kidunia ni kati ya fani zilizotawaliwa mno na nguvu za g!za(kuz!mu)

Pichani ni mwanamitindo mwenye nguvu zaidi ulimwenguni Michele Lamy raia wa Ufaransa. Huyu bibi kwa jina jingine anaitwa "Hollywood Witch with black fingers".

Lamy ndio mwanamitindo mwenye nguvu zaidi ulimwenguni na ndio anayewavisha mastaa wakubwa zaidi ulimwenguni. Page hii maarufu zaidi kwa sasa tz "Dunia Ina Mambo" imefatilia kwa kina kukupa haya usiyoyajua. Anatajwa kama mwanamitindo mwenye mafanikio makubwa zaidi ulimwenguni ambaye pia amewahi kukiri hadharani kwamba HAMUAMINI MUNGU.

Kiufupi huyu ni moja ya mawakala wakubwa wa jumuiya za siri na kila msanii anayekatiza katika mikono yake lazima nyota yake iwake kwelikweli duniani kote. Taarifa zaidi kuhusu maisha yake nmekuekea link hapo chini kwenye comments

Baadhi ya wasanii waliopita mikononi mwake ni Kim Kadarshian, Travis Scott, Usher Raymond, P. Diddy, Cardi B nk

Kimsingi mikataba mingi ya umaarufu wanayopitia wasanii maarufu ulimwenguni ina mambo ya siri ya kutisha nyuma ya pazia, umaarufu sio rahis na kwa upande mwingine ni hatar!

Mabrand makubwa yote ulimwenguni ya mitindo yanahusishwa na mambo ya giza, kwa wale mnaopenda mabrand bila kujua fuatilieni mtakuja kunishukuru

Kanye West aliwahi kukiri mikataba hiyo ya umaarufu na utajiri huusisha kuuza nafs! zao.

Inatisha aisee
Huyu bibi ni noma kwenye mambo yetu Yale ya usiku ana mabogidiwasionekana.
Wasanii wetu wawahi kwake wakachukue upako watoboe

Picha zaidi kwenye comments

FB_IMG_1740681820393.jpg
FB_IMG_1740681804114.jpg
 
Mafasheni yao Yale ya kichawi chawi au mamiziki yao Yale ya nguo nyeusi mziki hauna maana lakini unawika huyu bibi ndo ana boost.
So hawa wakina madale kwenda bagamoyo sio ajabu ndo music ulivyo.
Kwa sababu music ni ibada, music unabadili tabia za watu, music ni ujumbe
 
Halafu sasa fikiria kuna chuma kimemuweka ndani kama mke na wanazeeka pamoja
Screenshot_2025-02-27-22-01-04-416_com.google.android.googlequicksearchbox-edit.jpg


Wakati vijana bongo wanaogopa kuoa vimwana wa kila rangi waliojaa mitaani huko France kuna mtu analala na haka kajini mtu na haoni hatari but bora huyu kama kumvalisha msanii kunamfanya kuwa maarufu kuliko alivyokuwa anawafanyia diddy
 
R
Halafu sasa fikiria kuna chuma kimemuweka ndani kama mke na wanazeeka pamojaView attachment 3252565

Vijana bongo wanaogopa kuoa vimwana wa kila rangi waliojaa mitaani huko France kuna mtu analala na haka kajini mtu na haoni hatari but bora huyu kama kumvalisha msanii kunamfanya kuwa maarufu kuliko alivyokuwa anawafanyia diddy
Ricky owens unaambiwa ni bonge la basha na anawatatua marinda wasanii wa kiume mbele ya mkewe
 
Back
Top Bottom