rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
Nashukuru MkuuWelcome to the club rubii.
Dunia Haina huruma, fanya chochote usife masikini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru MkuuWelcome to the club rubii.
Dunia Haina huruma, fanya chochote usife masikini.
Anaetoa vipaji kwa wanadanu ni nani?Nyimbo nyingi za injili za sasa anaimbiwa shetani na sio Mungu hasa kwenye haya makanisa ya wanawake saba
Shetani alikuwa malaika wa sifa mbinguni yaani mkuu wa music.Anaetoa vipaji kwa wanadanu ni nani?
Kama ni Mungu, kwanini awape watu vipaji vya kuimba ilhali muziki ni ushetani?