The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
- Thread starter
- #81
Nafsi ni mwili wa ndani wa mtu ambao KAZI yake ni kubeba au kutunza record ya maisha yako.Hapo umeeleza vizuri trade ya kutrap souls kupitia matendo maovu .. wao hawajauza nafsi ila wameamua kujiunga kwenye ufalme huo kwa benefits fulani na ni watu wa ufalme huo tayari wakiwa na nafsi zao ..
Nini maana ya Nafsi?
Binadamu ana miili miwili wa nje unaokufa na wa ndani uliokufa huu uonekane ktk ulimwengu wa roho,huu ndo wachawi Wana Dili nao ndio unaoongoza mwili wa nje.