Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Not trueMusic industry ni masonic tupu bila wao utoboi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not trueMusic industry ni masonic tupu bila wao utoboi
Well saidKwa ufupi "Music ni haramu" ni vile tunakaza mafuvu
Onyesha Ushahidi kwamba ni pumbaPumba tupu.
HeheheView attachment 3252609
Huyu itakuwa alikutana na Queen of Darkness wa Kikuu🤣🤣
Mama wa watu kajivalia zake vizuri tu,
Tulia!!!Mama wa watu kajivalia zake vizuri tu,
Mnamwita queen of darkness wajinga nyinyi.
Mnamjua Ruthu?ruth, zuhura,,zuchu,chura ,shushu,shishi wote wanae.
Ni walozi?
Msilete ujinga hapa.
Usiogope huyu kwa Jesus power ni karatasi
Ili yatimie maandikoJesus mwenyewe watu walitia makofi wakatundika juu.
AiseeMusic industry ni masonic tupu bila wao utoboi
We uoni maudhui ya music ni kumtukuza zaidi shetani.Aisee
Thus ufanana mavazi maelekezo utoka kwa queen of coast wanamjua wasanii pamoja na mitume na manabii hapa mjini ndie uwapa nguvuView attachment 3252609
Huyu itakuwa alikutana na Queen of Darkness wa Kikuu🤣🤣
We uoni maudhui ya music ni kumtukuza zaidi shetani.Onyesha Ushahidi kwamba ni pumba
We uoni maudhui ya music ni kumtukuza zaidi shetani.Yaleyale manadharia yakipuuzi!
We uoni maudhui ya music ni kumtukuza zaidi shetani.Unaelewa maana ya masonic au umeshiba mamande kama mwenzio
We uoni kwenye tv maudhui ya music ni kumtukuza zaidi shetani.Story kama Hizi zinabamba sana kwenye vijiwe vya kahawa
Utishwe na nini kwani we ni mgeni kwenye tv uoni yanayoendelea kwenye musicAfrica hadi karne hii bado tuna ujinga wa kutisha.