Anajifanya bab kubwa nimfanyeje...?


Ingekuwa inawezekana tungesema tusikilize na upande wa pili unasemaje, coz huwezi jua nae anaweza akaja hapa akaanzisha sredi kwamba mwanamke wake hampendi, so ni ngumu sana kuamini directly kwa kusikiliza one side.
Ila kama ni hivyo ni wazi kwamba hakupendi na pengine anaamini huwezi kuondoka.
I think its a time for you ladies to have your own decisions too.
Mueleze live kwamba hupendi hiki na kile bila uoga, na uso ubadilike kabisa uonekane hutaki mzaha. Na mueleze kwamba unaweza kwenda ukaishi kwingine.
Be strong ladies
 

thnx Michelle kwa ushauri mzuri..i'll implement.
 
bila ya shaka ushauri wangu unahitajika katika hii sredi
 
Asanteni kwa ushauri mzuri.Naomba nieleweke kitu kimoja,huyu mwanaume siishi nae,kila mtu anaishi kivyake mie mashariki ya magaribi tunakutana tu mara chache in the evenings after work most of the times on weekends na huwa anakuja kumwangalia mtoto.sijasema kama hanipendi,ila matendo yake ndo yanaongea hivyo kwa jinsi anavyonifanyia comparison na kunambia kila leo yule kanitaka yule kanitaka na kusema mie ninalipa and all that stuff.

@BONGOLALA..Kuzaa kwangu kabla ya ndo wewe haikuhusu ni maamuzi ya mtu,mi nimeomba ushauri na suluhisho la tatizo.Please advise accordingly.
 
CRAPpppppppppppppppppppppppppppppppppppppp!!!!!!
Hivi ndiyo vipepeo vyenyewe.
Mshauri mtu, sio unajifanya una haki kupita kiasi.

Who knows what tomorrow has to offer??

Unaijua kesho yako wewe!!!!

The Following User Says Thank You to LD For This Useful Post:

Michelle (Today)​
 
karibu sana...
leo nitakuwepo sana, acha nikabebe brifkesi langu la ushauri nasaha. stay tuned. nashukuru wiki hii nimefanikiwa kuokoa ndoa 5, hii inaweza ikawa ya sita (japo sio ndoa)
 
leo nitakuwepo sana, acha nikabebe brifkesi langu la ushauri nasaha. stay tuned. nashukuru wiki hii nimefanikiwa kuokoa ndoa 5, hii inaweza ikawa ya sita (japo sio ndoa)

ndoa gani hizo? za mawaziri?
 
ndoa gani hizo? za mawaziri?
ustoke kwenye topic. sweetdada yuko serious asije akaturipoti abyuzi. ndoa nitazielezea kwa urefu sana next week. kwa kweli naomba mnipongeze tu kwa kazi kubwa ninayoifanya kuhakikisha familia hazibomoki.
 
hapana! case yangu mimi ni tofauti na huyu dada mimi sijalalamika na niliyezaa nae bado tunapendana ingawa hatuna mahusiano ya kimapenzi

Ila ulizaa nje ya ndoa!Usiwe mnafki bwana...ulivyozaa wewe haina tofauti na yeye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…