Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Nyakati zitasema naye na wote waliohusika
Asili inaona na haijakaa kimya!.. Hata wengine wasipolipa kisasi.. Asili itafanya.. Karma haikopeshi.. Asili hulipa kisasi kwa niaba
Asili hukifanya kisasi kitunge mimba
Asili hukifanya kisasi kizae , kikuze kisha kikomaze..
Kisasi kikishakomaa.. Kikishakomaza.. Wahusika hawana pa kuponea..
Tuupe muda wakati.. Kisasi hakijasahau.. Asili bado inakumbuka.. Karma inasubiri wakati utimie
View: https://www.facebook.com/share/v/1EJTZ4wvZK/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v