Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Inamaana wewe huna wivu?
Tema mate juu, yule nanihii vp?
wa kuchunga binadamu kama mbuzi? hapana kabisa!....nani tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamaana wewe huna wivu?
Tema mate juu, yule nanihii vp?
Halafu ukizingatia na wazazi wa huyu binti waliishamwambia huyu jamaa kuwa binti yao ni jeuri pindi akileta za kuleta amshikishe adabu sasa sijui kwanini jamaa anakuwa muoga na mpole kiasi hicho mpaka mwanamke amempanda kichwani anywayz haya mambo ya ndani ya nyumba huwezi kujua ni kitu gani hasa kilichopo humo natamani sana huyo hausigeli angeongea maana atakuwa anajua mambo mengi sana yanayotendeka humo ndani
Kuna wanaume wengine kwa wake zao kama majibwa koko hawafurukuti anaweza kudwa hivi hivi mbele za watu na akanywea.
Kuna siku nililikuwa nakunywa sebuleni na jamaa mmoja wa pale pale kitaa sasa jamaa story zimenoga mke wake akawa anamuhitaji nyumbani alikubwa amebanwa na hamu akatuma mtoto mara kwanza jamaa akasema nakuja baada ya dk.5 akarudi tena mtoto jamaa akasema nakuja zikapita dk.10 mama yule akaongozana na mtoto huku yeye akawa amejificha gizani akamwambia kamwite mtoto akaenda jamaa akasema mwambie nakuja yule mama akatoka huko gizani mpaka kwa jamaa akachukua bilauri ya kilaji akamwaga akamwambia nimekwambia nyumbani jamaa akawa mpole wkt pale pale alikuwa anapiga story jamaa ake anavyo nyanyaswa na mke wake basi jamaa huyoo akainuka kama kondoo. Mi nilicheka mpaka nikaharibu beer zangu kwa kucheua dah.
Aku ukanifidq goti yangu maana jana ulivyoshabikia??? halafu kwa nini nimtafute DA na wakati wewe upo, au na wewe domo zito?
Heshima wakuu...
Kuna jamaa yangu ambaye tumekuwa pamoja nikiwa na maana michezo ya utotoni na shule ya msingi pia tumesoma darasa moja kule kijijini kwetu. Amekuwa kama ndugu maana ndiye alinipokea hapa mjini kabla sijaanza kujitegemea. Matatizo yalianza alipooa, baada ya miezi kama sita hivi nilipigwa marufuku na mkewe nisiwe na mazoea na huyu jamaa eti namtafutia wanawake, pindi tunapotoka pamoja hasa siku za wikendi. Kuepusha mgogoro nikaacha kwenda nyumbani kwa jamaa na kama kuna shida ya muhimu namuibukia ofisini kwake. Si mimi tu, bali marafiki wote wa karibu wa jamaa walipigwa mkwara kama mimi.
Ishu ni juzi huyu jamaa kaja kuniomba ushauri amfanye nini mkewe maana kero zimezidi, akichelewa kurudi kazini ni zogo, na akirudi haruhusiwi kutoka labda atoe sababu za msingi kwa nini anatoka na ikiwezekana wanatoka wote. Kifupi jamaa hana sauti mbele ya mkewe.
Nilimshauri jamaa hii ishu aifikishe kwa wazee akianza na mshenga, kabla ya kuchukua uamuzi. Mke wa jamaa ni mama wa nyumbani.
Nimeileta hapa ili tupate uzoefu kutoka kwa wataalamu wa mahusiano na mapenzi huenda tukapata uzoefu kwa waliowahi kupata mkasa kama huu.
Nawasilisha...
Ha ha ha Gaga bana bado unakumbuka goti yako kwa Fidel?? Usiogope unajua mie ndo sponser wake so kila kitu akitaka kufanya lazima aombe ruhusa kwangu
Licha ya jamaa kulazwa sebuleni pia siku nyingine wakikorofishana mke anaenda kulala chumba cha house girl!!Halafu ukizingatia na wazazi wa huyu binti waliishamwambia huyu jamaa kuwa binti yao ni jeuri pindi akileta za kuleta amshikishe adabu sasa sijui kwanini jamaa anakuwa muoga na mpole kiasi hicho mpaka mwanamke amempanda kichwani anywayz haya mambo ya ndani ya nyumba huwezi kujua ni kitu gani hasa kilichopo humo natamani sana huyo hausigeli angeongea maana atakuwa anajua mambo mengi sana yanayotendeka humo ndani
wa kuchunga binadamu kama mbuzi? hapana kabisa!....nani tena?
Wengine wanaficha kuogopa kuaibika na kusemwa na watuFidel mambo mazito hayo, omba yasikukute, wanaume wengi ni tu wasiri sana!
Hatuingilii, jamaa mwenyewe kaomba ushauri baada ya kuona mambo yanamshinda!ndoa iliyofungwa na mungu na isiingiliwe,
nyinyi mwaitakia nini, hata kama mwanaume anapiga deki,anakatazwa kutoka,
wewe inakuhusu!
hayo mambo ni ya wana ndoa wenyewe, sasa wewe wa pembeni kinachokuwasha ni nini?
Ulitaka maisha ya wanandoa wote yafanane?imekuwa sare ya shule hiyo?
hujambo wewe?
ndoa iliyofungwa na mungu na isiingiliwe,
nyinyi mwaitakia nini, hata kama mwanaume anapiga deki,anakatazwa kutoka,
wewe inakuhusu!
hayo mambo ni ya wana ndoa wenyewe, sasa wewe wa pembeni kinachokuwasha ni nini?
Ulitaka maisha ya wanandoa wote yafanane?imekuwa sare ya shule hiyo?
ndoa iliyofungwa na mungu na isiingiliwe,
nyinyi mwaitakia nini, hata kama mwanaume anapiga deki,anakatazwa kutoka,
wewe inakuhusu!
hayo mambo ni ya wana ndoa wenyewe, sasa wewe wa pembeni kinachokuwasha ni nini?
Ulitaka maisha ya wanandoa wote yafanane?imekuwa sare ya shule hiyo?
Aisee Katavi huyu mwanamke anahitaji kuwekwa sawa na tena kuwekwa sawa haswa maana inakoelekea jamaa atakuwa anambiwa ikifika saa 12 jioni uwe umeishafika nyumbani.Licha ya jamaa kulazwa sebuleni pia siku nyingine wakikorofishana mke anaenda kulala chumba cha house girl!!
Wengine wanaficha kuogopa kuaibika na kusemwa na watu
Ha ha ha Gaga bana bado unakumbuka goti yako kwa Fidel?? Usiogope unajua mie ndo sponser wake so kila kitu akitaka kufanya lazima aombe ruhusa kwangu
Hivo eee yaani mpaka tupitie kwako ndio akatufidq?? haya ngoja nirudi loliondo DA naenda kazia na dozi ya babu maana ile kila tatizo hata kama boss wako hakupendi ukirudi tu unakuta anakukenulia meno
Licha ya jamaa kulazwa sebuleni pia siku nyingine wakikorofishana mke anaenda kulala chumba cha house girl!!