Anakojoa mkojo unaonuka sana katikati ya tendo.

binafsi nimekujibu utumbo mwanzoni kwasababu nimeshindwa kuelewa kwann unaona hili ni jambo la kaufanyia dhihaka.
kama analia basi mweleze kwa upendo mpeleke kwa dr pengine mwenzio ana fistula wewe unaona sawa tu.

fistula wakati wa mechi tu.?
 
The Boss keshasema bibie ana squirt,wewe unasema akojoe kwanza kabla ya tendo-unanipa wasiwasi na ueleo wako

kwahiyo wewe unataka kuamni kwamba The Boss yuko sahihi??
je mpaka hapo hujaweza kuwaza kwamba huyu binti anaweza kuwa na tatizo la fistula?? fikiri nje ya ubongo wako.
 
Last edited by a moderator:
Badilisha style ili asikukojolea yeye mueke chini ww juu yake halfu weka kitu km plastiki ktk godoro,akishazaaa atapunguza kukojoa
 
Last edited by a moderator:
Maji yanamfikiaje usoni wakati wamelaliana?.
 
Anayosema gfsonwin ni sahihi..Huyo mdada ana tatizo linaloitwa VESICOVAGINAL FISTULA.
Sehemu ya kizazi cha mwanamke zimekaribiana sana na kibofu cha mkojo/sehemu ya haja kubwa..Kukiwa na uwazi kati ya sehemu hizo kunaweza kusababisha kuvuja kwa mkojo au kinyesi.Dalili ya tatizo hilo ni kutoka kwa mkojo au kinyesi kupitia kwenye vagina (uke).
Inawezekana vilevile akawa ana squirt lakini ikumbuke squirt haitakiwi kuwa na harufu,inamaana huyo mwenza wako bado atakuwa na matatizo vilevile..Nakushauri umpeleke hospitali akapatiwe matibabu haraka iwezekanavyo...Inawezekana akahitaji upasuaji kuziba uwazi huo,na akahitaji ANTIBIOTICS kwaajili ya UTI.
 
Nakushauri uwe una mfack akiwa ameinama alaf chini weka ndoo...utakua umetatua tatizo laku kojolewa naku anika godoro...kuhusu harufu nunua airfrshnr zina saidia sana kuondoa harufu
 
Nakushauri uwe una mfack akiwa ameinama alaf chini weka ndoo...utakua umetatua tatizo laku kojolewa naku anika godoro...kuhusu harufu nunua airfrshnr zina saidia sana kuondoa harufu
In the heat of the moment wanaweza kujikuta wanatumbukia kwenye ndoo,hii ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…