msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,786
- 5,963
- Thread starter
- #21
binafsi nimekujibu utumbo mwanzoni kwasababu nimeshindwa kuelewa kwann unaona hili ni jambo la kaufanyia dhihaka.
kama analia basi mweleze kwa upendo mpeleke kwa dr pengine mwenzio ana fistula wewe unaona sawa tu.
fistula wakati wa mechi tu.?