Anakuomba Hela mara kwa mara? Kiunzi hiki ukirukeje nabado aendelee kua wako?

Anakuomba Hela mara kwa mara? Kiunzi hiki ukirukeje nabado aendelee kua wako?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Suala la Kumpa Mwanamke Pesa au kumkopesha Pesa, ni Uamuzi wa Kiuchumi na sio Uamuzi wa Kihisia

Ndiooo, Unajua huenda unampenda, au upo naye, lkn kiuchumi haupo vzuri, ndo umuache? Ndo akuumize ?? Haipaswi kua hivo..
Huenda Kiuchumi kwa sasa haupo vzuri, huenda wee ndio Rais wa Wa familia yenu, huenda kabisa unapitia wakati ambao haukuruhusu kua huru, kujihudumia wewe na kuwahudumia wengine akiwemo Mwanamke , lkn mwanamke wako mara kwa mara anakuomba Pesa, amefanya uwe mtu wa mawazo sana, kiasi kwamba wengine mnaamuaga kuachana na mahusiano hayo kabisaaa kuepuka stress n.k

Je, wewe ni mmoja ya Wanaume wanaopitia hayo?

Yes, kama wee ni mwanaume unayeamin Pesa kila kitu, endelea mzee baba[emoji23][emoji23][emoji23]

Sikilizeni, Siandiki kuhusu Mwanamke umekutana naye mtandaon , akumDM, akakuuliza ,uko vzuri?? Ukajibu ndioo ....( HUYU SIKU ZOTE ATAKUPIGA HELA TU)yaan kama Una Demu ambaye ni gold digger, huyu hatokupenda "Kihisia" atakua naww kiuchumi, hvowaaina hii, mbinh zangu hizi zinaweza zisikusaidie.

Hapa leo naandika kuhusu Mwanamke uliyemuona, umevutiwa naye, huenda huyo mwanamke kakamilika kila Idara, unamtaka,au upo naye, lkn sasa Suala la Pesa limekua changamoto, Kumpenda unampenda, lkn Pesa ,unahangaika sana, unakopa yaan amekufanya uwe mtu wa Madeni kwa sababu anakuomba mara kwa mara, au wewe mwenyewe umezoea kumpaa lkn now umeyumbaa

Leo nakupa Uhuru wako, Utampa pesa utakavyojisikia nabado ,HATOKAA KAMWE KUFIKIRIA KUKUACHA
Ndio, sikilizeni, mkiwaelewa wanawake, Hawatowasumbua !!! Ndiooo .

Nianze kwa washangaa Jamaa zangu ambao wakishakutana na mwanamke, wanataka wamwonyeshe eehh ni Ma Don, wanapesa [emoji23] , Wakikutana na mwanamke yaan watajionyesha kila kitu kimaisha ,, Wana Magari ,Majumba, Kazi nzurii sanaa zinazowapa pesa, n.k Ofcoz huwa mnafanya ili kupata Attention ( Usijaribu kumuaminisha mwanamke kua wee ndio unamfaa kila kitu) . Wanawake wanaona kwa Kihisia.

Ndio amesikia kua unamtaka, ameona una kazi, nyumba, lkn kinyume chake pia, Ameona PESA, yaan wee ulipomwambia Kazi yako, ameona Pesa..Nyumba sio yako umepanga,ye anaona ,Pesa....Gari. yaan kile anachokisikia kwako, anachokiona, anachokigusa ni Pesa... unategemea nn kitafuata?

[emoji23][emoji23] hatoisha kukuomba Pesa, hatoisha kukuomba umkopeshe, na utamkopesha lkn Hatokaa kamwe kulipa, kwa sababu mahusiano yako tayari ameshayatafasiri kama sehem ya faida kwake.

[emoji101]HAKIKISHA MWANZO WA MAHUSIANO YAKO, HUJIWEKI WAZI KIIVO HATA AJUE UWEZO WAKO WA KIUCHUMI .....utanishukuru.


[emoji101]MFUNDISHE KUVUA SAMAKI, USIMPE SAMAKI[emoji23]
kama kuna kosa Jamaa zangu mnafanya, ni kumwagia pesa mwanamke kila anapokuomba , mfundisheee namna ya kutafuta Pesa, Mjenge akili yake ikomaee na kufunguka kwenye kutafuta, yaaan day anakuomba Pesa, kua huru kuongea naye, mwambie Baby, unajua ukifanya moja mbili utakua na Pesa yako mwenyewe unayojiingizia yaan baadhi ya vitu hata ungekua huniombi ... Alafu Mfundishe na mshike mkono kwa huo muda kma unaweza.

[emoji101]AKIKUOMBA PESA , WEEE MWAMBIE AKUPE MUDA KWANZA WA KUTAFAKARI.. Unajua wanaume wengine sijui udhaifu umetuzidi??? Ukishaombwa Pesa tu ,huna na unaanza kuhaha [emoji23][emoji23][emoji23]unaishia kukopa hahaha, nyoosha, mwambie Sawa baby ila nipe muda kwanza .. Kisha utumie huo muda kutafakari ,Umuhim wa ombi lake la Pesa, ni pesa yenye ulazima??? Ni pesa ya kusubiri, au shida yake haina maana yoyite zaidi ya kutafuta pesa kwenda kustahereka???

Oyaa Hela si niyako??? Kwan aliihifadhi kwako?? Sasa kwann anapokuomba uanze kuhangaikaa weeee, uhangaike na mikopo isiyokua namaana[emoji23][emoji23]

Baada ya Kutafakari wee mwambie, Baby pesa nlokua nayo, bahat mbaya mtu alokua kanikopesha kipindi fulan ,naye kanitafuta hivo imebidi nimpe yeye kwanza ....

[emoji101]Aiseee, Tafuta Njia mbadala za kuhakikisha Hitaji lake lilomfanya ahitaji umpe Pesa, unalitimiza pasipo Kumpa Pesa mkononi

[emoji101]UWAPO NA PESA, MUWAHI KIMAHITAJI KISHA KWENYE HELA ,UTAMPA KIDOGOOO TU ( Hii inamuandaa akili kua, Baby wangu akiwa na hela anafanyaga mbona)

[emoji101]MWAMBIE AUZE VITU VYAKE[emoji23][emoji23][emoji23], Najua hapa wengi hamuwezi ,mnaogopa kuachwa, hahahah yaan nmwambia auze kitu chake hahahahaha

Sikiliza , Kuna Mwanamke anakuomba Pesa nawewe uko mapumbu tuu yaan Pesa ulinayo ni kwaajili ya Kukusogeza mwisho wa mwezi, Alafu yeye anakuomba 500K kwaajili ya Kuongezea Biashara yake [emoji23][emoji23] wakati huohuo anamiliki iPhone 12 Pro Max Brooo, wewe na Ka Itel kako ,kwann Usimshauri tu, Baby Uza hiyo Simu, upate pesa ya kutosha ,

[emoji117]HAKIKISHA UNAMPA RIDHIKO LA KIMAPENZI.

[emoji101]NDUGU YANGU, HAYO PIA ,YASIKUFANYE UBWETEKE KIASI KWAMBA WEE SASA NDIO UWE BAHILIIII

Mwanamke atakua vile ulivyomzoesha.



Majangili wasemao " Mimi Mwanaume mwenye Pesa nikimuona tu na K inaloana".... Brooo huyo ni Msalaba ,ukiamua kuubeba ubebe tu ...ndo gold digger wenyewe hao, mawazi yao yameshikwa., huyo atakuacha mara moja na kwenda kwenye Pesa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaka wanawake hawaeleweki kabisa..

hawana tofauti na mtu mwenye mshipa(busha),ukitokea mbele yake akiona Unamwangalia analisukumiza nyuma,ukipishana nae ugeuke umwangalie kisogoni huoni kitu kumbe busha limesha adjustiwa mbele,kuna muda hulioni popote kumbe kaliweka katikati ya mapaja,basi unaishia kujisemea Tu moyoni "si niliskia jamaa ana busha huyu,mbn sivyo"

Basi wanawake ndy wapo hivyo,mtu anaweza kuchukua formula zote ulizoandika hapa akaenda kuzi apply na akafeli mazima,alafu kuna muhuni mmoja mfungua geti na mkata majani anajilia demu wake au mkewe kiulaini kabisa
 
Kaka wanawake hawaeleweki kabisa..

hawana tofauti na mtu mwenye mshipa(busha),ukitokea mbele yake akiona Unamwangalia analisukumiza nyuma,ukipishana nae ugeuke umwangalie kisogoni huoni kitu kumbe busha limesha adjustiwa mbele,kuna muda hulioni popote kumbe kaliweka katikati ya mapaja,basi unaishia kujisemea Tu moyoni "si niliskia jamaa ana busha huyu,mbn sivyo"

Basi wanawake ndy wapo hivyo,mtu anaweza kuchukua formula zote ulizoandika hapa akaenda kuzi apply na akafeli mazima,alafu kuna muhuni mmoja mfungua geti na mkata majani anajilia demu wake au mkewe kiulaini kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23] Hatari sana mkuu
 
Wakati niko chuo kuja dem mmoja nilikuwa namtafuna. Nilikuwa sina hela lkn nilichokuwa nafanya nilikua nikikutana naye nampa show ya kibabe yani nahakikisha kila round tunafika naye.

Ikawa akiniomba hela namwambia sina alaf ananinunia tunapotezeana hata wiki mbili hanitafuti simtafuti lkn mwisho wa siku mwenyewe akikumbuka show ananitafuta.

Hellen popote ulipo najuwa huwez kunisahau na kama uko humu mim ndo yule kiboko yako saiz nina hela ya kukupa hebu rudi

Nb: Ngono ni dhambi
 
Wanaume punguzeni jamani, punguzeni khaaaa.....mnalialia sana
Money and love are INSEPARABLE!!!! Hauwezi kutenganisha pesa na mapenzi.

Nb: pesa maana yake sio maburungutu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1]
InShot_20210617_203213758.jpg
 
Mtanzanyika Huru sa si mbaki na pesa zenu, kwani mnalazimishwa?? Kila mtu abaki na chake....[emoji16]
Hahahahah Eve kuomba hatujakataa Ila Sasa Kuna baadhi ya wenzenu yaani too much aisee

Hujageuza shingo Tayari kashakulipua .[emoji1][emoji1787]

Mahusiano yenu yako level za awali hata Pete mtu hajavalishwa lakini analipua kwa kwenda mbele .

Mwisho wa siku utasikia "wanaumw wote mbwa tu"[emoji1]

Twende kwa step mizinga mfululizo mnatukimbiza .
 
Hahahahah Eve kuomba hatujakataa Ila Sasa Kuna baadhi ya wenzenu yaani too much aisee

Hujageuza shingo Tayari kashakulipua .[emoji1][emoji1787]

Mahusiano yenu yako level za awali hata Pete mtu hajavalishwa lakini analipua kwa kwenda mbele .

Mwisho wa siku utasikia "wanaumw wote mbwa tu"[emoji1]

Twende kwa step mizinga mfululizo mnatukimbiza .
Nyie endeleeni kulalamika tu, ila ukweli mapenzi na pesa havitengani....

Mi na mme wangu tukiwa na hela raha zinaongezeka, tunanunua zetu T-bone mixa salala tunachoma nyumbani, tunashushia bia ni raha kwakweli, pesa ikiwepo ni raha....
 
Nyie endeleeni kulalamika tu, ila ukweli mapenzi na pesa havitengani....

Mi na mme wangu tukiwa na hela raha zinaongezeka, tunanunua zetu T-bone mixa salala tunachoma nyumbani, tunashushia bia ni raha kwakweli, pesa ikiwepo ni raha....
Ushasema mumeo hio next level

Mtu akiwa mkeo Haina shida kabisa unatoa hela kiroho saafi kabisa
Sasa mtu analala kwa babake au kapanga na kazi anafanya still anapiga mzinga Kama Hamas[emoji1]
 
Back
Top Bottom