Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Dada tatizo sio kutuomba ila tatizo kuna ile kuzidisha,
Mfano mimi demu wangu mwezi uliopita aliniomba 300k aongezee ili amnunulie kaka yake boda boda nikamwambia nipe muda nikutafutie nimetafuta nikampa, kwenda showroom zimepanda bei akaja kuniomba tena nimwongezee 200k nimempa, sijakaa sawa anakuja tena nimpe hela ya kununua Bag, nikamwambia nihurumie kwanza nirudishe hii 500k iliyonitoka
Tangu jana usiku tulivyoachana hatukuwasiliana, nawaza kuachana nae, yaani nimempa 500k ndani ya siku tano kisha ananikasirikia kisa sijampa 50k ya kununua Bag na bado mwezi ukiisha akija ghetto ataleta habari za kumwagia nje
Hapo utakuta mama yako mzazi akiomba hata Elfu 20 unamwambia huna,tuna vizazi vya ajabu sana dunia hii