Anakuomba Hela mara kwa mara? Kiunzi hiki ukirukeje nabado aendelee kua wako?

Anakuomba Hela mara kwa mara? Kiunzi hiki ukirukeje nabado aendelee kua wako?

Wakati niko chuo kuja dem mmoja nilikuwa namtafuna. Nilikuwa sina hela lkn nilichokuwa nafanya nilikua nikikutana naye nampa show ya kibabe yani nahakikisha kila round tunafika naye.

Ikawa akiniomba hela namwambia sina alaf ananinunia tunapotezeana hata wiki mbili hanitafuti simtafuti lkn mwisho wa siku mwenyewe akikumbuka show ananitafuta.

Hellen popote ulipo najuwa huwez kunisahau na kama uko humu mim ndo yule kiboko yako saiz nina hela ya kukupa hebu rudi

Nb: Ngono ni dhambi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume punguzeni jamani, punguzeni khaaaa.....mnalialia sana
Money and love are INSEPARABLE!!!! Hauwezi kutenganisha pesa na mapenzi.

Nb: pesa maana yake sio maburungutu.
Pesa kiasi gan inamtosha mwanamke ?
 
Hahahahah Eve kuomba hatujakataa Ila Sasa Kuna baadhi ya wenzenu yaani too much aisee

Hujageuza shingo Tayari kashakulipua .[emoji1][emoji1787]

Mahusiano yenu yako level za awali hata Pete mtu hajavalishwa lakini analipua kwa kwenda mbele .

Mwisho wa siku utasikia "wanaumw wote mbwa tu"[emoji1]

Twende kwa step mizinga mfululizo mnatukimbiza .
Wa mizinga sana siku hizi
 
Nyie endeleeni kulalamika tu, ila ukweli mapenzi na pesa havitengani....

Mi na mme wangu tukiwa na hela raha zinaongezeka, tunanunua zetu T-bone mixa salala tunachoma nyumbani, tunashushia bia ni raha kwakweli, pesa ikiwepo ni raha....
Wee unasemea kuhudumiwa na Mumeo [emoji23]

Vinapokosekana, huwa unarud kwenu au unaendelea kungoja???
 
Sasa huoni huyo ni muhitaji zaidi....jamani wapeni hela wapenzi wenu [emoji23] punguzeni kulalamika
Tunawapa, lengo la uzi umelielewa?????.

Punguzeni kuomba ombaa pia wapenzi wenu

Unaomba Kodi, unaomba, chakula, unaomba biashara khaaaaa
 
Mtanzanyika Huru sa si mbaki na pesa zenu, kwani mnalazimishwa?? Kila mtu abaki na chake....😁
Dada tatizo sio kutuomba ila tatizo kuna ile kuzidisha,
Mfano mimi demu wangu mwezi uliopita aliniomba 300k aongezee ili amnunulie kaka yake boda boda nikamwambia nipe muda nikutafutie nimetafuta nikampa, kwenda showroom zimepanda bei akaja kuniomba tena nimwongezee 200k nimempa, sijakaa sawa anakuja tena nimpe hela ya kununua Bag, nikamwambia nihurumie kwanza nirudishe hii 500k iliyonitoka

Tangu jana usiku tulivyoachana hatukuwasiliana, nawaza kuachana nae, yaani nimempa 500k ndani ya siku tano kisha ananikasirikia kisa sijampa 50k ya kununua Bag na bado mwezi ukiisha akija ghetto ataleta habari za kumwagia nje
 
Krait naomba umuache huyo mtu uje kwangu 😂😂😂....

pole sana dear
 
Back
Top Bottom