Anakuomba Hela mara kwa mara? Kiunzi hiki ukirukeje nabado aendelee kua wako?

Hapo utakuta mama yako mzazi akiomba hata Elfu 20 unamwambia huna,tuna vizazi vya ajabu sana dunia hii
 
Kijana umerogwa na huyu mwanamke husikute wadogo zako na wazazi wako wakikuomba pesa huwapi inakuwaje mpenzi wako anakuomba pesa bila uoga?
 
Hapo utakuta mama yako mzazi akiomba hata Elfu 20 unamwambia huna,tuna vizazi vya ajabu sana dunia hii
Mama yangu mzazi alizikwa tangu 1992 nikiwa na 6 years
Baba yangu simjui ila naye niliambiwa kafariki 1995
Now tumebaki wawili mimi na Dada yangu baada ya kaka yetu wa kwanza kupigwa shaba S.A.
 
Kijana umerogwa na huyu mwanamke husikute wadogo zako na wazazi wako wakikuomba pesa huwapi inakuwaje mpenzi wako anakuomba pesa bila uoga?
Mimi ndo mtoto wa mwisho, sina wadogo zangu wala sina wazazi ila nina dada yangu ambaye yupo serikalini,
Nina watoto wawili ambao wanaishi na dada yangu na ninawasomesha kama kawaida

Sijarogwa nina akili zangu timamu kabisa sema nina uhakika wa kula, sijawahi kuumiza kichwa kuhusu kula mkuu

Naumiza kichwa kutafuta hela ya kujenga na kununua Porsche New Model mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…