Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Ndio unitafute ukiwa na shida?Unakuta analalamika hatafutwi wakati yeye pia hatafuti
Nyie ndio waliozungumziwa kwenye hii mada, wapiga mizinga ila kwenye raha hamuonekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio unitafute ukiwa na shida?Unakuta analalamika hatafutwi wakati yeye pia hatafuti
Kwingine kote umeongea sawa kabisa Ila umechemka kwa upande wa wazaz. Mzazi Hana muda Wala mipaka ya kuomba msaada kwako. Na kwa mila na desturi za kiafrika mtoto ndiye anatakiwa aanzishe salam, yani mtoto ndiye anapaswa kuwatafuta na kuwapgia wazazi sm ili kuwajulia hali. Ebu jiulize ni mara ngapi vijana wa kiume/kike wanawapgia wapenzi wao sm kwa siku/wiki na kuwahonga au kuwaomba pesa. Sasa inakuwaje mzazi aliyejinyima akakulea na kukusomesha hadi ukajitambua hadi leo umepata sm ya kuingia jf ushindwe kumpigia au ukimpigia akakuomba pesa unaona nongwa. Unadhani wakat baba yako anatafuta pesa ya kuhudumia familia na kukusomesha asinge tu Kula maisha ya raha na fraha na mke wake ( mama yako) au asingehonga michepuko alafu wewe ungekua kwa shida na pengine wakati unaugua angekuacha ufe tu.
Kijana aliyelelewa vyema kamwe hawezi kuthamini pesa kuliko mzazi wake, hawezi kulinganisha mzazi na kitu chochote bila kujali mzazi huyo alikulea vipi maan no matter what mzazi atabaki kuwa mzazi tu na mzazi hana mbadala. Tuwaheshimu wazazi wetu maana what goes around comes around.
Safi sana
Sema kwa dunia ya sasa mtu akishakuwa na pesa za kumtosha kukidhi mahitaji yake yote basi huyo mtu lazima ajione keki.
Somo zuri Sana nalipa nyota 5
Point tupu umeandika
Ova
Binafsi napenda kutafutwa wakati wa shida , ninakua ninajivuna kuwa mimi ni mtatua matatzo , nilizaliwa kutatua matatizo sasa unitafute wakati una raha ili nikusaidie nini?
HahahaBinafsi napenda kutafutwa wakati wa shida , ninakua ninajivuna kuwa mimi ni mtatua matatzo , nilizaliwa kutatua matatizo sasa unitafute wakati una raha ili nikusaidie nini?
kusalimiana mara kwa mara bila ishu ya maana nayo ni sehemu ya umbea
Umepita mule mule, jana nimemchamba mtu kama bado hajaifuta namba yangu basi ana moyo wa shaba,
Ndugu huyu hakutafuti hadi awe ana shida ya pesa, na kisingizio chake kuumwa au kodi, nilimzoesha nikaona sasa tabia hii imekua sugu, hanitembelei kazi yake ni kuview status tu whatsapp, nikampa makavu yake.
umeeleweka vyema kabisa Taikon
kwa wale ndugu/marafiki wenye ukaribu tunaosaidiana ni muhimu na salama zaidi kutafutana na kujuliana hali sio shida ndio ziwe sababu ya kukumbukana, kuna mtu ukiona kakutafuta ujue ni shida na kuna wale wengine wakikutafuta ujue unatakiwa uende ukazike au uchangie rambirambi.
Ukweli mtupu!! we jamaa uko vizuri sana
Kwa hiyo unapenda wenzako wakiwa na shida?
Au ndio nyie wa atakuja tuu kisa mnajua ni lazima shida impate?
Noma mkuu😄😄Hahaha
Yaani unitafute wakati wa raha uniambie raha zako au niaje??
Tutafutane kukiwa na jambo la msingi, hatuna mazoea zaidi kiivo, status zimetusaidia sana. Naview zako unaview zangu. Kama zitanihusu nitareply kama hazinihusu napita kushoto hata miezi.
Hamna la kuongea mnapigiana simu ili nini kama sio kuanza kuulizana fulani yuko wapi na huyu yuko wapi.
Kausha ukiwa na shida nicheki, nikiwa nayo kama wewe ndio msaada nitakucheki tu.
Sasa nikukupq hi itakusaidia nini? Una uhaba wa watu wa kukujulia hali?
Nashukuru watu wangu wa karibu hawana desturi yq simu za hovyo hovyo. Labda kama upo kwenye majanga kila mda utapigiwa kujuliwa hali ila sio uko normal kwenye harakati zako tu uanze kutegemea simu za salamu.
Mkuu natembea na usemi wako umaskini ni laana , sasa kama wana laana wazidi kuteseka tu , mm ni mwanafunzi wako mtiifu🙏🙏