Anakuwa mpole sana mwanzoni, baadae anabadilika na kuwa mkali kama chui

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Kwenye mahusiano, wanaume hujionesha kuwa wapole sana mwanzoni. Baada ya muda hubadilika na kuwa kama chui aliyejeruhiwa. Wanasahau kwamba wanapaswa kuishi na wanawake kwa akili.

Na wao (wanaume) ndio hasa chanzo cha mabadiliko chanya au hasi. Wanaume muishi na wanawake kwa akili, msiwe wakali pasipo sababu. Loh!
 
Ngoja kwanza nikae vizur
IMG_0795.jpg
 
Kwenye mahusiano, wanaume hujionesha kuwa wapole sana mwanzoni. Baada ya muda hubadilika na kuwa kama chui aliyejeruhiwa. Wanasahau kwamba wanapaswa kuishi na wanawake kwa akili.

Na wao (wanaume) ndio hasa chanzo cha mabadiliko chanya au hasi. Wanaume muishi na wanawake kwa akili, msiwe wakali. Loh!
😅😅 Najiona kabisa ila nipogo vizuri kwa submissive women other than that get fakd bitch 😁😁😁😁
 
Sio wote itakua una nyota ya kukutana na pretenders
No. Wala sio mie.
Nimejaribu tu kufanya kautafiti kwa baadhi ya wanandoa na wapenzi wanaofanyiana ukatili. Tatizo ni kutoonesha uhalisia tangu mwanzo.

anadhani upole ndio tabia yake, anaanza kumchezea 'sharubu' kumbe jamaa anapretend
 
No. Wala sio mie.
Nimejaribu tu kufanya kautifiti kwa baadhi ya wanandoa na wapenzi wanaofanyiana ukatili. Tatizo ni kutoonesha uhalisia tangu mwanzo.

anadhani upole ndio tabia yake, anaanza kuchezea 'sharubu' kumbe jamaa anapretend
Penzi likiwa jipya ni tofauti kabisa likishasoma kilomita, kuna mambo huchangia hali hiyo.
 
Kwenye mahusiano, wanaume hujionesha kuwa wapole sana mwanzoni. Baada ya muda hubadilika na kuwa kama chui aliyejeruhiwa. Wanasahau kwamba wanapaswa kuishi na wanawake kwa akili.

Na wao (wanaume) ndio hasa chanzo cha mabadiliko chanya au hasi. Wanaume muishi na wanawake kwa akili, msiwe wakali. Loh!
Kwani upole,ndio akili? Au kutokuonesha hisia za hasira wakati mwingine sio akili?
 
Haya sasa, ushaanza maswali ya kichokozi😲
Mi nimesema wanaume waishi na wanawake kwa akili. Sijaongelea hisia.

Hata hivyo hisia za mtu anayetumia akili na asiyetumia utazijua tu kwenye reaction. Haiwezi kuwa sawa
 
Penzi likiwa jipya ni tofauti kabisa likishasoma kilomita, kuna mambo huchangia hali hiyo.
MUNGU mwenyewe hatabiriki na harakati zake za kutuendesha watoto wake.....kuna muda MUNGU huyo huyo anasema yeye ni MUNGU mwenye wivu, mwenye hasira na hakuna awezaye kusimama mbele ya gadhabu yake,Mungu anaua,anainua,anatandika kama adhabu baadae anakufuta machozi.....sasa mwanamke unataka mwanaume wako aende vile unavyotaka ni ngum sana kwa mwanaume anaetambua nafasi yake na kumsikiliza Mungu
 
Kwenye mahusiano, wanaume hujionesha kuwa wapole sana mwanzoni. Baada ya muda hubadilika na kuwa kama chui aliyejeruhiwa. Wanasahau kwamba wanapaswa kuishi na wanawake kwa akili.

Na wao (wanaume) ndio hasa chanzo cha mabadiliko chanya au hasi. Wanaume muishi na wanawake kwa akili, msiwe wakali pasipo sababu. Loh!
Na ndiyo maana unampenda , trust me akiwa hivyo unavyotaka tartiiibu utaanza kumtoa points mwisho wa siku mtaachana .

Wacha jamaa asitabirike hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom