Anakuwa mpole sana mwanzoni, baadae anabadilika na kuwa mkali kama chui

Anakuwa mpole sana mwanzoni, baadae anabadilika na kuwa mkali kama chui

Kwenye mahusiano, wanaume hujionesha kuwa wapole sana mwanzoni. Baada ya muda hubadilika na kuwa kama chui aliyejeruhiwa. Wanasahau kwamba wanapaswa kuishi na wanawake kwa akili.

Na wao (wanaume) ndio hasa chanzo cha mabadiliko chanya au hasi. Wanaume muishi na wanawake kwa akili, msiwe wakali pasipo sababu. Loh!
Ni kweli mapenz sio vita

Dj shusha ngoma ya TID ft JIDE - UNDERSTANDING
 
No. Wala sio mie.
Nimejaribu tu kufanya kautafiti kwa baadhi ya wanandoa na wapenzi wanaofanyiana ukatili. Tatizo ni kutoonesha uhalisia tangu mwanzo.

anadhani upole ndio tabia yake, anaanza kumchezea 'sharubu' kumbe jamaa anapretend
Sasa kumbe unamchezea sharubu[emoji23][emoji23][emoji23], huyo mwanaume atakayekubali hayo atakuwa ni mjinga kuliko wote. Hampendi amani nyie jinsia[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanawake huwa mnashindwa kutofautisha "Marriage Life Phases".

Mnataka muishi as if "Everyday is Honeymoon".

Huwa mnahisi "Life is an Happily Adventure".

Sasa that type ya wanawake huwa wanapata tabu sana kwa kufeli kwao kujua kwamba maisha yana phases nyingi.

Na type hiyo ya wanawake hakuna mwanaume anaweza kuwachekea hata mwanaume awe mpole vipi.
 
Kwenye mahusiano, wanaume hujionesha kuwa wapole sana mwanzoni. Baada ya muda hubadilika na kuwa kama chui aliyejeruhiwa. Wanasahau kwamba wanapaswa kuishi na wanawake kwa akili.

Na wao (wanaume) ndio hasa chanzo cha mabadiliko chanya au hasi. Wanaume muishi na wanawake kwa akili, msiwe wakali pasipo sababu. Loh!
Tukiwa wapole napo mnalalamika! Hamjui mnachokitaka mbwa nyie
 
[emoji28][emoji28] Najiona kabisa ila nipogo vizuri kwa submissive women other than that get fakd bitch [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23].. other than that?........ hahahaha [emoji38]
 
A Mental case!

Hajabadilika he just showed you who he really is!

He was a fake the whole time!
 
Kuwa mpole au mkali hizi ni hisia (Emotional patterns) ambazo huwa kama feedback ya jambo au mambo anayotendewa kiumbe chochote maana in every Action there is equal and opposite Reactions that's newton's first law.
So, inaonekana mwanzoni ulimtreat nicely ila baadae ulibadilika ukawa unamhandle vibaya ndio maana akawa mkali kama chui, maana angeweza kuwa mkali kama kiumbe kingene chochote.
Lakini pia kuna human personalities ambazo kila mtu anaangukia kwenye moja wapo ya haya ma group manne.
1.Melancholic. 2. Phlegmatic
-Moody. - Passive
-Anxious. - Careful
-Rigid. - Thoughfull
-Sober. - Peaceful
-Pessimistic. - Controlled
-Reserved. - Reliable
-Unsociable. - Calm
-Quite - Tempered

3.Choleric. 4.Sanguine
-Restless. - Sociable
-Touchly. - Outgoing
-Agressive. - Talkertive
-Excitable. - Responsive
-Changeable. - Easy going
-Impulsive. - Lively
-Optimistic. - Care free
-Active. - Leadership
Tunapoambiwa tuishi nanyi kwa akili hapo alimaanisha according to knowledge yani Living with your wife in an understanding way means you're supposed to know her. You're not supposed to treat her generically — you're supposed to treat her uniquely. And in order to treat her uniquely, you have to work at knowing her.
 
inaonekana mwanzoni ulimtreat nicely ila baadae ulibadilika ukawa unamhandle vibaya ndio maana akawa mkali kama chui, maana angeweza kuwa mkali kama kiumbe kingene chochote.
Goodluck blaming yourself for your partners rage attacks, especially when you say no to something they asked/said or set a boundary.

You in for a mental/emotional rollercoaster for the rest of your relationship, buckle up!

images (55).jpeg
 
Kwenye mahusiano, wanaume hujionesha kuwa wapole sana mwanzoni. Baada ya muda hubadilika na kuwa kama chui aliyejeruhiwa. Wanasahau kwamba wanapaswa kuishi na wanawake kwa akili.

Na wao (wanaume) ndio hasa chanzo cha mabadiliko chanya au hasi. Wanaume muishi na wanawake kwa akili, msiwe wakali pasipo sababu. Loh!
Na nyie wanawake mtu akianza na nyie kwa upole nanyie endeleeni kuwa wapole ila mkianza vicharuko msifikil wanaume watabaki kuwa wapole shida mnazianzisha nyie kama mnavotaka tuish nanyie kiakil na nyie muish na ss kiakil simba dume uwa n mpole kwa jike lakin jike likizngua unaelewa kinacho fanyikaaaa.......
 
Nunua henessy kwa mangi siji kulipa
 
Back
Top Bottom