š š Najiona kabisa ila nipogo vizuri kwa submissive women other than that get fakd bitch ššššKwenye mahusiano, wanaume hujionesha kuwa wapole sana mwanzoni. Baada ya muda hubadilika na kuwa kama chui aliyejeruhiwa. Wanasahau kwamba wanapaswa kuishi na wanawake kwa akili.
Na wao (wanaume) ndio hasa chanzo cha mabadiliko chanya au hasi. Wanaume muishi na wanawake kwa akili, msiwe wakali. Loh!
Sio wote itakua una nyota ya kukutana na pretendersTatizo ni kupretend mwanzoni as if ni mpoleeee, kumbeee ni katili balaaa!š
No. Wala sio mie.Sio wote itakua una nyota ya kukutana na pretenders
Penzi likiwa jipya ni tofauti kabisa likishasoma kilomita, kuna mambo huchangia hali hiyo.No. Wala sio mie.
Nimejaribu tu kufanya kautifiti kwa baadhi ya wanandoa na wapenzi wanaofanyiana ukatili. Tatizo ni kutoonesha uhalisia tangu mwanzo.
anadhani upole ndio tabia yake, anaanza kuchezea 'sharubu' kumbe jamaa anapretend
Kwani upole,ndio akili? Au kutokuonesha hisia za hasira wakati mwingine sio akili?Kwenye mahusiano, wanaume hujionesha kuwa wapole sana mwanzoni. Baada ya muda hubadilika na kuwa kama chui aliyejeruhiwa. Wanasahau kwamba wanapaswa kuishi na wanawake kwa akili.
Na wao (wanaume) ndio hasa chanzo cha mabadiliko chanya au hasi. Wanaume muishi na wanawake kwa akili, msiwe wakali. Loh!
Haya sasa, ushaanza maswali ya kichokoziš²Kwani upole,ndio akili? Au kutokuonesha hisia za hasira wakati mwingine sio akili?
MUNGU mwenyewe hatabiriki na harakati zake za kutuendesha watoto wake.....kuna muda MUNGU huyo huyo anasema yeye ni MUNGU mwenye wivu, mwenye hasira na hakuna awezaye kusimama mbele ya gadhabu yake,Mungu anaua,anainua,anatandika kama adhabu baadae anakufuta machozi.....sasa mwanamke unataka mwanaume wako aende vile unavyotaka ni ngum sana kwa mwanaume anaetambua nafasi yake na kumsikiliza MunguPenzi likiwa jipya ni tofauti kabisa likishasoma kilomita, kuna mambo huchangia hali hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila kweliiiiHata wanasiasa wanakuwa wapole kipindi cha kampeni,akichaguliwa hana tena upole. Ni ubabe tu
Na ndiyo maana unampenda , trust me akiwa hivyo unavyotaka tartiiibu utaanza kumtoa points mwisho wa siku mtaachana .Kwenye mahusiano, wanaume hujionesha kuwa wapole sana mwanzoni. Baada ya muda hubadilika na kuwa kama chui aliyejeruhiwa. Wanasahau kwamba wanapaswa kuishi na wanawake kwa akili.
Na wao (wanaume) ndio hasa chanzo cha mabadiliko chanya au hasi. Wanaume muishi na wanawake kwa akili, msiwe wakali pasipo sababu. Loh!
š¤£Ivo yaanDawa ya huyo mwanaume inabidi mwanamke uwe feminist hapo mtawezana....