Analala kwa watoto, saa nane anaingia room

Analala kwa watoto, saa nane anaingia room

Kwann usimtafute kwa kutumia text za simu. Labda amechoka kweli na haya maisha yalivyomagumu unataka mtu akae anakusikiliza unamwambia namna jirani alivyogombana na mkewe.... Au sijui story gani....

Muache apumzike mpe space anayotaka.... Akienda kazini mtext ajue unashida gani au vizia weekend siku ambayo hana mambo mengi mwambie unajambo la msingi unahitaji zungumza nae....
Mmmmmm sasa unazani hiyo ni siku moja? Unakuta ni jumatatu- jumapili sasa hapo kinachofuata ni nini?

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Iyo Hali mbaya Sana bila kuwa na mchepuko utakufa kwa SONONA
 
Stress gani sasa au visirani vya mke
[emoji23][emoji23] kama vile mke hujisahau kuwa mimi nishafika hata waume vile vile, utasikia unakosa nini hauli, hauvai tulia lea watoto, unajiuliza kwani alitoka kwao kafuata kula tu?
 
Hakuna kitu kama hicho, unajua zile stress za kila siku hupunguza hamu ya mwenza,
hata ile kutisikilizwa mke nako humpunguzia hamu pia

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Wewe ni Mwanamke ndio maana waongea hivyo, tuulize sisi wanaume tunaokutana na changamoto hizo.

Kuna wanawake swala la kungonoka kwake sio ishu kabisa na sio kwamba ana kijamaa nje! Hana hisia za kufanya tendo hata umuandae vipi, sana akiona unataka mzigo, anakufunulia unapiga ukimaliza anajiswafi imeisha.
 
Ukiona mdada anakuangalia sana na kukazia macho inawezeka anakupenda sana au anajamba kimya kimya. NI TANGAZO KUTOKA KWA WADHAMINI WA UZI.
 
[emoji23][emoji23] kama vile mke hujisahau kuwa mimi nishafika hata waume vile vile, utasikia unakosa nini hauli, hauvai tulia lea watoto, unajiuliza kwani alitoka kwao kafuata kula tu?
Mbwa kala mbwa
 
Uzi wenyewe umeuleta wewe... Itakuwa chai tu hiii
 
Hivi kweli unaamini yale mafunzo ya masaa kadhaa kwenye kitchen party yanamuandaa mwanamke kwa maisha ya ndoa?

Mpaka umemchagua kuwa mke wako Ina maana ulimuelewa. Sasa ni kwanini unashindwa kuwasiliana na mtu uliemuelewa ili kutatua tatizo.

Panga weekend moja hotelini mkae wawili tu siku tatu muone kama hamjafikia muafaka.
Kazi kweli kweli ..ukweli mchungu huu
 
Mnaendelea kupeana ushauri wa kijinga yani mke uoe ww kw dhumuni LA kuwa na familia imara halafu anaanza kuleta mauzauza, eti anakaa sebuleni mpka SAA nane ndo aje chumbani halafu we unakausha unaona sawa. Nasema hivi hta km hiyo movie mlikuwa mnaifuatilia wote muda wa kulala ni kulala tu hta km hana usingizi mke ni km mtoto tu lazima aongozwe ila hapa lazima busara itumike kumbuka tu ni mtu mzima mwenzio huyo! maana ukicheka na Kima ndo mwanzo wa kuleteana magonjwa ndani huo
 
Siaaa NILIWAHI ONGEA yalionikuta ndoani nkaacha KILA KITU2005 ndaniya MWEZI
MWANAMKE ANASEMA tuandike KILA KITU Mr n Mrs UNAWAZA katymwa kalogwa HAPANA a UNAWAZA Kwaoo n masikini HAPANA omba muyamalize akahamia loundry room dah yakanishinda naminikahamia......
Juzi Nimekutana na KIJANA MMOJA ana HELA chafu aliokwauoendo ANAJUA anaenda KUWA babaa weweeee
....tutaendeleaa kesho akanikumbusha mbalii vyema TUSHIRIKIANE NAJUA WAPO amjalala mnaoambana na haya
Mkuu sijakuelewa...
 
Back
Top Bottom