Mmmmmm sasa unazani hiyo ni siku moja? Unakuta ni jumatatu- jumapili sasa hapo kinachofuata ni nini?Kwann usimtafute kwa kutumia text za simu. Labda amechoka kweli na haya maisha yalivyomagumu unataka mtu akae anakusikiliza unamwambia namna jirani alivyogombana na mkewe.... Au sijui story gani....
Muache apumzike mpe space anayotaka.... Akienda kazini mtext ajue unashida gani au vizia weekend siku ambayo hana mambo mengi mwambie unajambo la msingi unahitaji zungumza nae....
Na akiwa mwanaume je! Mke aolewe na mwanaume mwingine?Sasa huyo atakuwa na pepo la kiburi na dawa yake ni kumuombea kwa maombi ya kumletea mke mwenza kama dini yako inaruhusu
Hakuna mwanaume wa hvyo labda awe shogaNa akiwa mwanaume je! Mke aolewe na mwanaume mwingine?
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Ma bruda tuna changamoto zetu ila wanandoa cha moto mnakiona
Stress gani sasa au visirani vya mkeHakuna kitu kama hicho, unajua zile stress za kila siku hupunguza hamu ya mwenza,
hata ile kutisikilizwa mke nako humpunguzia hamu pia
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23] kama vile mke hujisahau kuwa mimi nishafika hata waume vile vile, utasikia unakosa nini hauli, hauvai tulia lea watoto, unajiuliza kwani alitoka kwao kafuata kula tu?Stress gani sasa au visirani vya mke
Wewe ni Mwanamke ndio maana waongea hivyo, tuulize sisi wanaume tunaokutana na changamoto hizo.Hakuna kitu kama hicho, unajua zile stress za kila siku hupunguza hamu ya mwenza,
hata ile kutisikilizwa mke nako humpunguzia hamu pia
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona unajitetea kwa hasira?Hakuna mwanaume wa hvyo labda awe shoga
Mbwa kala mbwa[emoji23][emoji23] kama vile mke hujisahau kuwa mimi nishafika hata waume vile vile, utasikia unakosa nini hauli, hauvai tulia lea watoto, unajiuliza kwani alitoka kwao kafuata kula tu?
[emoji23][emoji23][emoji23] hakuna wakumfunga paka kengeleMbwa kala mbwa
HahahahahHapo akija chumbani hiyo usiku wa manane, we unahamia sebuleni au chumba kingine na mashuka yako. Dawa ya utoto na upuuzi ni utoto na upuuzi pia.
Kazi kweli kweli ..ukweli mchungu huuHivi kweli unaamini yale mafunzo ya masaa kadhaa kwenye kitchen party yanamuandaa mwanamke kwa maisha ya ndoa?
Mpaka umemchagua kuwa mke wako Ina maana ulimuelewa. Sasa ni kwanini unashindwa kuwasiliana na mtu uliemuelewa ili kutatua tatizo.
Panga weekend moja hotelini mkae wawili tu siku tatu muone kama hamjafikia muafaka.
Asira hip hapo sasa jaman[emoji23][emoji23][emoji23] mbona unajitetea kwa hasira?
Wewe huyo ndio umeandika hivi? 🤔]Akiingia unamuacha? Humt[emoji378]mbi?
We endelea kucheza vidukuKwa sisi ambao hatujaoa mnazidi kutukatisha tamaa ya kuoa
Mkuu sijakuelewa...Siaaa NILIWAHI ONGEA yalionikuta ndoani nkaacha KILA KITU2005 ndaniya MWEZI
MWANAMKE ANASEMA tuandike KILA KITU Mr n Mrs UNAWAZA katymwa kalogwa HAPANA a UNAWAZA Kwaoo n masikini HAPANA omba muyamalize akahamia loundry room dah yakanishinda naminikahamia......
Juzi Nimekutana na KIJANA MMOJA ana HELA chafu aliokwauoendo ANAJUA anaenda KUWA babaa weweeee
....tutaendeleaa kesho akanikumbusha mbalii vyema TUSHIRIKIANE NAJUA WAPO amjalala mnaoambana na haya