Analala kwa watoto, saa nane anaingia room

This man is in real pain, I can feel it! Pole Sana kaka mkubwa[emoji2955]
 
Hio si mpaka upate mke anayesikiliza akiwa na hasira...Wengine wanazira maana yake hataki kusikia lolote usimguse hata kumgusa. Hio mood ya kumpeleka mtu hotelini for dinner
Aisee pamoja na hasira zangu zote ila kususa siwezi ,mfano ukinipa offer ya dinner basi na hasira zinakua zishaisha.[emoji3][emoji3]
 
Mawasiliano ni nguzo bora katika mahusiano, mpaka mtu anafikia kulala chumba kingine means kuna vitu vimemuudhi, na utajuaje ni kupitia mawasiliano, muulize shida ni nini?, naye awe muwazi tu hizo actions zake si suluhisho,atalala hadi lini sasa?

Hivi hukumbuki kweli ulimchomkwaza mwenzio au unatuzuga hapa, ameanza tu kwenda kulala chumba cha watoto bila kuwa na tatizo? Samehaneni.
 
Aisee pamoja na hasira zangu zote ila kususa siwezi ,mfano ukinipa offer ya dinner basi na hasira zinakua zishaisha.[emoji3][emoji3]
Na hivyo ndio inatakiwa sasa. Mke kuwa na kisirani kisichoisha ni dalili ya pepo mchafu kumtawala katika maisha yake.
 
Wengine kuwa wazi hawawezi sijui. Mtu analeta drama mpaka unashangaa! Hivi naishi na mtoto au?
 
Mambo Ni mengi na muda hautoshi kiufupi maisha ya ndoa za kiafrika ni magumu mno,,

Zungumza nae kwa upole akwambie Nini tatizo mpaka anaenda kulala kwa watoto,, Kuna kosa ulimkosea hukuonyesha kujali,,ongea nae kabla haijawa mbaya zaidi

Nakumbuka nilipitia nyakati ngumu kwenye mahusiano kiasi Cha kujichua pembeni ya mume,
 
Nimesoma kwa makini sana hakika umepitia maumivu makali ya moyoni....mungu akupe uvumilivu
 
Hakika pole sana
 
Umenikumbusha wimbo wa zamani ulikua unaitwa BABA PAROKO.Amka mzee.acha kusinzia,hicho kibiriti kilishatingishwa kikatingishika.
 
Matatizo makubwa ya ndoa nyingi ni kukosa mawasiliano. Yale mawasiliano mliyotumia kutongozana mpaka mkakubaliana kwanini yasitumike kueleza sababu ya kulala chumba cha watoto au kununa?
Kulazimisha ndoa iliyofeli ni tatizo. Mawasiliano hayafufui mapenzi japo yanaweza kupunguza uhasama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…