Kutokana na mawasiliano mtagundua kuwa mapenzi yamekufa kabisa, mnaweza kuchukua maamuzi magumu.Kulazimisha ndoa iliyofeli ni tatizo. Mawasiliano hayafufui mapenzi japo yanaweza kupunguza uhasama.
Najua wengi mnakumbana nayo haya, wanandoa kama sio analala kwa watoto basi atakaa sebuleni mpaka usiku wa manane arudi chumbani
Huyu ndiye anaitwa mke, ndoa zimeficha mambo mengi sana, kesho tujadiliane suluhisho ya haya yote
NAWATAARISHIAAA MBINGU YA NDOA MPWAA WASIOGOPE WAJIPANGE TU WAPI PA KUTOKEA
We jamaa sijawahi kukuelewa na huu muandiko[emoji16][emoji16]Siaaa NILIWAHI ONGEA yalionikuta ndoani nkaacha KILA KITU2005 ndaniya MWEZI
MWANAMKE ANASEMA tuandike KILA KITU Mr n Mrs UNAWAZA katymwa kalogwa HAPANA a UNAWAZA Kwaoo n masikini HAPANA omba muyamalize akahamia loundry room dah yakanishinda naminikahamia......
Juzi Nimekutana na KIJANA MMOJA ana HELA chafu aliokwauoendo ANAJUA anaenda KUWA babaa weweeee
....tutaendeleaa kesho akanikumbusha mbalii vyema TUSHIRIKIANE NAJUA WAPO amjalala mnaoambana na haya
Umeongea dada ukishalijua hilo ndoa inakua nyepesi migogoro haiwezi kuwa ya kukaushana mate.Matatizo makubwa ya ndoa nyingi ni kukosa mawasiliano. Yale mawasiliano mliyotumia kutongozana mpaka mkakubaliana kwanini yasitumike kueleza sababu ya kulala chumba cha watoto au kununa?
Dah achaa tuu sijui anaandikaga yupo kwenye boda boda yani najikutaga nachekaaaWe jamaa sijawahi kukuelewa na huu muandiko[emoji16][emoji16]
Saa nyingine unataka kushare ka umbea ka jirani hatakai kusikiliza. Muwe mnatusikilizaaaaWakati mwingine mnawalaumu wanawake, tatizo waume wengi hawapendi kuwasikiliza wake zao, akirudi hana muda na wake zao wakurudi ni kula kwenda kulala mke anakuwa na vitu vingi vyakuongea na mme na akitaka kuongea naye jibu kachoka aachwe apumzike, sasa mke akaongee na nani wanaume wengi hamjielewi na hamjui nini maana ya mwenza, mechi zenyewe mbovu mke ataacha kuwa na stress? Nyie ndiyo mnafanya wachepuke kaeni na wazee mpate busara za ndoa.
Asante sana, nashukuru kwa maneno yako ya faraja.Nimesoma kwa makini sana hakika umepitia maumivu makali ya moyoni....mungu akupe uvumilivu
Aaaah mbona umepindua jinsia hapo..... Wanaume gubu wanatoa wapi?!Sasa huyo wakumsikiliza mke yupo wapi? Wanaume wengi hawapendi kuwasikiliza wanawake huona wanamidomo na gubu
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Nashukuru mkuu, ni wachache sana wanaweza kunielewa kama wewd shukrani sana kwa kuelewa what am going through......This man is in real pain, I can feel it! Pole Sana kaka mkubwa[emoji2955]
Basi ungesoma huko niliko quote ukaelewaAaaah mbona umepindua jinsia hapo..... Wanaume gubu wanatoa wapi?!
Sawa but wanaume huwa hatunaga ghubu, bali tuna kibesi.... Ni sawa sawa na kusema mwanaume ana matiti badili ya kusema kifua.
Ha Ha Ha hapo kwenye matiti badala ya kifuaSawa but wanaume huwa hatunaga ghubu, bali tuna kibesi.... Ni sawa sawa na kusema mwanaume ana matiti badili ya kusema kifua.
Najua wengi mnakumbana nayo haya, wanandoa kama sio analala kwa watoto basi atakaa sebuleni mpaka usiku wa manane arudi chumbani
Huyu ndiye anaitwa mke, ndoa zimeficha mambo mengi sana, kesho tujadiliane suluhisho ya haya yote
Basi hujaelewa nilichoandikaSawa but wanaume huwa hatunaga ghubu, bali tuna kibesi.... Ni sawa sawa na kusema mwanaume ana matiti badili ya kusema kifua.
YWNWADunia ilivyo sasa kuna haja kweli ya kuoa?
#YNWA
Namjua Pdidy ila kama anezeeka siku hizi wakati wajina wake USA ndio anazidi kuwa kijana. Sijui anafeli wapi?huyo ndio pdidy mzoee tu