Analeta mahaba mazito, baada ya biashara yake kufungwa kutokana na malimbikizo ya kodi

Mwambie huwezi kumsaidia kifedha ila unapenda mwili wake uutumie ili ajue kuwa hakuuzii na huna msaada mwingine kwake zaidi ya kuwa mngono wake.
 
Mwambie huwezi kumsaidia kifedha ila unapenda mwili wake uutumie ili ajue kuwa hakuuzii na huna msaada mwingine kwake zaidi ya kuwa mngono wake.
Ataambulia nauli tu
 
Reactions: Tsh
Kamtoe stress mwenzako huko😅😅😅
 
Kimbia mi kuna mmoja muhuni tu ananiandikia upumbavu wake eti nataka niwe wako wa permanent na anajua nina familia changa.Nimemblock kila sehemu mwanamke gani mweusi kama kunguru .
Sasa Kunguru Linahusikaje hapo mkuu? [emoji3][emoji3][emoji3] Anyway wakati Unamtongoza hukuuona huo Ukunguru?? [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hili nalo litapita
 
Kumbuka unawatoto 8 wanakutegemea😂😂😂 Kuna pasaka wanatak nguo za sikukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…