Analeta mahaba mazito, baada ya biashara yake kufungwa kutokana na malimbikizo ya kodi

Hapo hujaombwa hela umeshaanza kujistukia!wanamme wa siku hizi mmekuwa waoga Sana aiseee
 
Huu si utapeli huu.

Nimekuwa kwenye mahusiano na mmama mmoja, anayejishughulisha kwenye mambo ya biashara mbalimbali.

Kusema ukweli tumefaidiana sana; ukiwa naye utapiga mpaka wewe mwenyewe uchoke, hana mapozi na anajua kusimamia nafasi yake kama mwanamke.

Mwezi uliopita nilienda kumtembelea huko mkoani; kama mjuavyo tena, tukafanya yetu, na muda ulivyoisha nilirudi kwangu.

Tangu ijumaa iliyopita, amekuwa na mahaba mazito sana kwangu; anasema anataka aje azae na mimi, mara anapiga simu usiku nimpe maneno matamu aweze kufikia mshindo, mara antena yake inasimama anavyonikumbuka n.k.

Mbaya zaidi, amelazimisha kesho aanze safari kuja kunifuata ili nimuondolee msongo wa mawazo; nikamuuuliza una mawazo gani, (mi nikifikiri labda ni ny.ge tu)? Akasema, 'biashara yangu imefungiwa kutokana na limbikizo la kodi'.

Hapo ndipo akili ikashtuka, kumbe huyu kiumbe pamoja na kunionyesha mahaba yote wiki hii, lengo lake ni kutaka salio kwa kisingizio cha mahusiano! Nikapiga hesabu za haraka haraka, nikaona hali hairuhusu, nikamwambia ''sasa hivi siko vizuri ila kama nauli na mashine utapata tu.''

Akasema, ''haina shida, kesho nakuja we jiandae unipe vya kutosha, muhimu niondoe msongo wa mawazo''.

Hapa najiuliza wakuu, hawezi kutumia mbinu za kianamke kwa kunivizia pale napotaka kuachia goli, akaichomoa nje, mpaka nimthibitishie kumsaidia ndipo airejeshe ndani?​
Ukitaka kumchinja kobe
 
Tutatafuta hela pia,so unaona mama anapambana na mabiashara kakwama kidogo umeshaanza kuogopa kumsaidia na ukaona haitoshi umekuja kumtangaza humu mweeeh😂
Huwa nafikiria ni lini mwanaume hatoombwa hela; nikimaanisha kila mmoja ke na me wawe ni watafutaji, kinachowakutanisha kiwe ni kubadilishana ladha tu, na si kuombana salio.
 
Africa bado Sana,kwanza mwanaume wa kiafrica usipompiga mizinga anakuona cheap🤔
 
Ebu njoo kwangu lakini usinipige mizinga na hakuna kufuatana fuatana; hapo utakuwa na thamani kubwa
 
Huu si utapeli huu.

Nimekuwa kwenye mahusiano na mmama mmoja, anayejishughulisha kwenye mambo ya biashara mbalimbali.

Kusema ukweli tumefaidiana sana; ukiwa naye utapiga mpaka wewe mwenyewe uchoke, hana mapozi na anajua kusimamia nafasi yake kama mwanamke.

Mwezi uliopita nilienda kumtembelea huko mkoani; kama mjuavyo tena, tukafanya yetu, na muda ulivyoisha nilirudi kwangu.

Tangu ijumaa iliyopita, amekuwa na mahaba mazito sana kwangu; anasema anataka aje azae na mimi, mara anapiga simu usiku nimpe maneno matamu aweze kufikia mshindo, mara antena yake inasimama anavyonikumbuka n.k.

Mbaya zaidi, amelazimisha kesho aanze safari kuja kunifuata ili nimuondolee msongo wa mawazo; nikamuuuliza una mawazo gani, (mi nikifikiri labda ni ny.ge tu)? Akasema, 'biashara yangu imefungiwa kutokana na limbikizo la kodi'.

Hapo ndipo akili ikashtuka, kumbe huyu kiumbe pamoja na kunionyesha mahaba yote wiki hii, lengo lake ni kutaka salio kwa kisingizio cha mahusiano! Nikapiga hesabu za haraka haraka, nikaona hali hairuhusu, nikamwambia ''sasa hivi siko vizuri ila kama nauli na mashine utapata tu.''

Akasema, ''haina shida, kesho nakuja we jiandae unipe vya kutosha, muhimu niondoe msongo wa mawazo''.

Hapa najiuliza wakuu, hawezi kutumia mbinu za kianamke kwa kunivizia pale napotaka kuachia goli, akaichomoa nje, mpaka nimthibitishie kumsaidia ndipo airejeshe ndani?​
Wacha nicheke tu 😂😂😂
 
Na nikutoe Tu,,wasiwasi Broo!!!akija na ukitafuna mbususu hayo marupurupu ya kodi lazima uyatoe tuu!!!na utamwambia ""bebii!! kwa raha hizi unipatiazo nipo tayari kula ugali na sukari,,kodi nakulipia na usishangae ukampa na nauli ya kurudi kwake""
 
Kimbia mi kuna mmoja muhuni tu ananiandikia upumbavu wake eti nataka niwe wako wa permanent na anajua nina familia changa.Nimemblock kila sehemu mwanamke gani mweusi kama kunguru .
Chief ilo tatizo la weusi unalolikwepa kwa mpenzi wako mi ndiyo ugonjwa wangu.
Wallah wadada weusi wana nafasi ya pekee kwenye moyo wangu Mungu Shahidi. 😁
 
Back
Top Bottom