Analeta mahaba mazito, baada ya biashara yake kufungwa kutokana na malimbikizo ya kodi

Hapo hujaombwa hela umeshaanza kujistukia!wanamme wa siku hizi mmekuwa waoga Sana aiseee
 
Ukitaka kumchinja kobe
 
Sawa tutatafuta, je na nyie mtatafuta nini?
Tutatafuta hela pia,so unaona mama anapambana na mabiashara kakwama kidogo umeshaanza kuogopa kumsaidia na ukaona haitoshi umekuja kumtangaza humu mweeehπŸ˜‚
 
Tutatafuta hela pia,so unaona mama anapambana na mabiashara kakwama kidogo umeshaanza kuogopa kumsaidia na ukaona haitoshi umekuja kumtangaza humu mweeehπŸ˜‚
Huwa nafikiria ni lini mwanaume hatoombwa hela; nikimaanisha kila mmoja ke na me wawe ni watafutaji, kinachowakutanisha kiwe ni kubadilishana ladha tu, na si kuombana salio.
 
Huwa nafikiria ni lini mwanaume hatoombwa hela; nikimaanisha kila mmoja ke na me wawe ni watafutaji, kinachowakutanisha kiwe ni kubadilishana ladha tu, na si kuombana salio.
Africa bado Sana,kwanza mwanaume wa kiafrica usipompiga mizinga anakuona cheapπŸ€”
 
Africa bado Sana,kwanza mwanaume wa kiafrica usipompiga mizinga anakuona cheapπŸ€”
Ebu njoo kwangu lakini usinipige mizinga na hakuna kufuatana fuatana; hapo utakuwa na thamani kubwa
 
Wacha nicheke tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na nikutoe Tu,,wasiwasi Broo!!!akija na ukitafuna mbususu hayo marupurupu ya kodi lazima uyatoe tuu!!!na utamwambia ""bebii!! kwa raha hizi unipatiazo nipo tayari kula ugali na sukari,,kodi nakulipia na usishangae ukampa na nauli ya kurudi kwake""
 
Kimbia mi kuna mmoja muhuni tu ananiandikia upumbavu wake eti nataka niwe wako wa permanent na anajua nina familia changa.Nimemblock kila sehemu mwanamke gani mweusi kama kunguru .
Chief ilo tatizo la weusi unalolikwepa kwa mpenzi wako mi ndiyo ugonjwa wangu.
Wallah wadada weusi wana nafasi ya pekee kwenye moyo wangu Mungu Shahidi. 😁
 
Chief ilo tatizo la weusi unalolikwepa kwa mpenzi wako mi ndiyo ugonjwa wangu.
Wallah wadada weusi wana nafasi ya pekee kwenye moyo wangu Mungu Shahidi. 😁
Mi mwenyewe mwanamke wangu mweusi kama chungu kipya .Inaitwa changamsha genge tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…