Natizam CNN, Fox News, Sky News+ ya Australia, RT America, Russia Insight, Euro news n.k. Mahali pekee unapoweza kupata taarifa za Urusi kiuhakika ni RT na Russia Insight. Hizo vyombo vya habari vyengine wanakata taarifa/vipande vya video na kuviweka vile ambavyo vitakavyofit ajenda zao. Ukitaka kugundua hili fuatilia vyombo vya habari vya Urusi kisha angalia kwenye hivyo vyengine nilivyovitaja utaona mchezo wanaoufanya.
Malcolm X alisema kuwa makini na vyombo vya habari, usipokuwa makini utampenda anayeonea na utamchukia anayeonewa. Kusema Putin hana maarifa ya diplomasia aiseee! Inakubidi ufuatilie kwa umakini haya masuala.
February 9, 1990 James Baker officially announced "Washington can guarantee that NATO borders won't move an inc eastward if the USSR can help them with uniting Germany"
Kwa kuliweka wazi zaidi UK secretary for foreign affairs alisema maneno hayo hayo kwa maana the unified Germany would not end up being a threat to the USSR.
10February, 1990 the future chancellor of Germany Helmut alisema;
" We believe that NATO should not expand the sphere of its activity. We have to find a reasonable resolution. I correctly understand the security interests of the Soviet Union, and i realize that you, Mr. General secretary, and the Soviet leadership will have to clearly explain what is happening to the Soviet people".
Hizi ahadi zilidumu mwisho 1997. Czech Republic, Hungary n.k walijiunga NATO. Unafikiria Urusi ikufikirie vipi? Wao ni wajinga? Na wao (west) ni werevu? Kuwa hawajui mpango wa NATO ni upi? Ukraine na Urusi ni pua na mdomo.