Analoshindwa Putin aliliweza Magufuli kwa kutumia zawadi ya tausi watatu kwa Museveni na Kenyatta

Rais kama anakubalika kwa wa2 wake shida nini? Pro amerika mnamuona putin ni dikteta, ila mnajitoa ufahamu kwa marais wa marekani ndiyo madikteta wenyewe, wameshauwa wengi tuu waco na hatia, so utasemaje wao co madikteta!!!!
Huna uhakika kama mimi ni pro au against america. Putin aliangusha ndege ya Uholanzi akaua mamia ya raia wasio na hatia kisa tu ndege ilikuwa inakatiza anga la Ukraine.

Ni mshenzi anayedhani nguvu bila hekima ina msaada wowote ule. Rais wa sasa wa Ukraine ni myahudi, na nadhani unawajua hao jamaa walivyo na mtandao wa watu hao dunia nzima, hawatamuacha salama akithubutu kuigusa Ukraine.
 
Kwahiyo wewe nchi yako Ina strong intelligence Kuliko KGB !? [emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee bongo shikamoo [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Wee jmaaa ni kiazii sna aisee Una elimu gani Kwanza tuanzie apoo Kama Una bachelor nawahurumia watoto wakona walimu waliokufundisha na wazazi wako kabisa unafananisha mgogoro WA Ukrein na Kenya na uganda useless kabisa
 
Kwahiyo wewe nchi yako Ina strong intelligence Kuliko KGB !? [emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee bongo shikamoo [emoji119][emoji119][emoji119]
Kuwa na strong intelligence sio kitu kama nchi inaongozwa na rais mbabe kama Putin
 
Wee jmaaa ni kiazii sna aisee Una elimu gani Kwanza tuanzie apoo Kama Una bachelor nawahurumia watoto wakona walimu waliokufundisha na wazazi wako kabisa unafananisha mgogoro WA Ukrein na Kenya na uganda useless kabisa
Ukitoka kuvuta bangi tulia kwanza mpaka itulie kichwani halafu ndio uingie JF. Mgogoro wowote wa kimataifa njia zake za utatuzi hazitofautiani. Somo ni lile lile la international relations.
 
Hapana,,,sinaga tabia ya kumzarau mtu. Wewe upo kimasomo huko, utayajuwa wapia ya puttin na ukraine!!! Unadhani huko ni bongo!!!
Kuwa masomoni haikuzuii kuangalia TV kila jioni, unachanganyika na watu kila siku. Unajikuta ukiwafahamu kwa ukaribu.
 
Well said....
 
kumbe lengo la mada yako lilikuwa ni kumsifia marehemu jiwe.

ni bora ungefupisha mada kwa kuandika paragraph mbili tu kuliko kutuchosha kwa porojo nyingi.

haya tumekusikia mzee wa kumfsia marehemu.
Mwanzo wa mada unafanana na mwisho wake.
 
Natizam CNN, Fox News, Sky News+ ya Australia, RT America, Russia Insight, Euro news n.k. Mahali pekee unapoweza kupata taarifa za Urusi kiuhakika ni RT na Russia Insight. Hizo vyombo vya habari vyengine wanakata taarifa/vipande vya video na kuviweka vile ambavyo vitakavyofit ajenda zao. Ukitaka kugundua hili fuatilia vyombo vya habari vya Urusi kisha angalia kwenye hivyo vyengine nilivyovitaja utaona mchezo wanaoufanya.

Malcolm X alisema kuwa makini na vyombo vya habari, usipokuwa makini utampenda anayeonea na utamchukia anayeonewa. Kusema Putin hana maarifa ya diplomasia aiseee! Inakubidi ufuatilie kwa umakini haya masuala.
February 9, 1990 James Baker officially announced "Washington can guarantee that NATO borders won't move an inch eastward if the USSR can help them with uniting Germany"

Kwa kuliweka wazi zaidi UK secretary for foreign affairs alisema maneno hayo hayo kwa maana the unified Germany would not end up being a threat to the USSR.

10February, 1990 the future chancellor of Germany Helmut alisema;

" We believe that NATO should not expand the sphere of its activity. We have to find a reasonable resolution. I correctly understand the security interests of the Soviet Union, and i realize that you, Mr. General secretary, and the Soviet leadership will have to clearly explain what is happening to the Soviet people".

Hizi ahadi zilidumu mwisho 1997. Czech Republic, Hungary n.k walijiunga NATO. Unafikiria Urusi ikufikirie vipi? Wao ni wajinga? Na wao (west) ni werevu? Kuwa hawajui mpango wa NATO ni upi? Ukraine na Urusi ni pua na mdomo.
 
Haya yanayoendelea sasa hayakusikika miaka ile ya Yeltsin, changamoto zilimalizwa bila ya watu kutishiana misuli.

Russia inawakosa wanasiasa wenye kuyajua mazungumzo ya kidiplomasia ambao wanajenga hoja na kueleweka bila kutumia lugha za vitisho au kulazimisha mtu akubaliane na unachofikiri.
 
Haya yanayoendelea sasa hayakusikika miaka ile ya Yeltsin, changamoto zilimalizwa bila ya watu kutishiana misuli.
Yeltsin? Rais mlevi? Ambaye analewa chakari na anatoroka kabisa mpaka Ikulu kwenda kupata mvinyo! Huyo, Gorbachev ni vituko tu. Na miaka hiyo Urusi ilikuwa ni dhaifu na ndiyo maana hizo ahadi zilivunjwa na NATO kwa muda huo. Na hao wanawekwa kwenye makundi mawili, either ni traitor or stupid.
Russia inawakosa wanasiasa wenye kuyajua mazungumzo ya kidiplomasia ambao wanajenga hoja na kueleweka bila kutumia lugha za vitisho au kulazimisha mtu akubaliane na unachofikiri.
Unamjua Sergei Lavrov? Kwa sasa ndiye anafahamika kama mwanadiplomasia kamili duniani.
 
Fikra zilizogandana kabisa hizi
 
Kwahiyo wewe nchi yako Ina strong intelligence Kuliko KGB !? [emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee bongo shikamoo [emoji119][emoji119][emoji119]
Kuna mtu yupo kiteto lkn anaona putin yupo pale kwa bahati mbaya
 
Yeltsin alikuwa mlevi lakini alikuwa mjanja kuwa na wanadiplomasia wazuri wenye kujua kukaa chini na kujenga hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…