LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Once mwananchi always mwananchi.
Huyu dogo Feisal bado ana mapenzi makubwa sana na Yanga. Mechi ya jana amecheza kinazi. Amecheza chini ya kiwango chake. Kuna baadhi ya mashuti alikuwa anajipigisha fyongo ili mradi asilete madhara kwenye klabu yake hiyo ya Zamani.
Kwa watu wanao jua kusoma body language/ body gestures ( body movement) za mtu na ambao walimtazama Feisal kwenye mechi ya jana, wanaweza kukubaliana nami pasi na shaka yoyote ile kwamba Feisal bado ana mapenzi makubwa na Yanga.
# Usikute jana dogo alienda kushangilia chooni