Analysis ya body language: Feisal bado ana mapenzi makubwa sana na Yanga

Analysis ya body language: Feisal bado ana mapenzi makubwa sana na Yanga

Leo na Wewe umeanzisha Uzi JamiiForums? Nahisi uwepo wa Mvua Kubwa nchini.

Jamani msiache Kuuchangia huu Uzi ili usije Ukamdodea bure na akajiona hathaminiwi nanyi.

Haya LIKUD nimeshakupigia Promo huu Uzi wako na Watu wakishaona tu hii ID yangu ya GENTAMYCINE imechangia watafurika hivyo usiache tu Kunishukuru na Kunipongeza sawa?

Watu tuna Nyota zetu Kali sana duniani.
Hivi wewe jamaa una familia kweli? [emoji23]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Once mwananchi always mwananchi.

Huyu dogo Feisal bado ana mapenzi makubwa sana na Yanga. Mechi ya jana amecheza kinazi. Amecheza chini ya kiwango chake. Kuna baadhi ya mashuti alikuwa anajipigisha fyongo ili mradi asilete madhara kwenye klabu yake hiyo ya Zamani.

kwa watu wanao jua kusoma body language/ body gestures ( body movement) za mtu na ambao walimtazama Feisal kwenye mechi ya jana, wanaweza kukubaliana nami pasi na shaka yoyote ile kwamba Feisal bado ana mapenzi makubwa na Yanga.

# usikute jana dogo alienda kushangilia chooni
Eti chooni

Aaahaaa
 
Sidhani kama uko sahihi game ilikuwa ngumu sana hupaswi kumlaumu mimi nadhani alikabwa ipasavyo
 
Mtu analipwa mshahara wa mamilioni halafu acheze chini ya Kiwango kwa makusudi ili iweje ?? kwani hawezi kuzidiwa kiwango na wapinzani wake ? Hukuona alivyopambana Mpaka na kucheza rafu ulitaka apambanaje ili kuonyesha kuwa amedhamiria ?
 
Back
Top Bottom