Jana kuna mbumbumbu FC kadhaa wakati wa kuangalia mechi, walikuwa wanaropoka, msituumizie mchezaji wetu wa mwakani..!!Ama nyie mashabiki wa Yanga ndo bado mna mapenzi kwa Feisal[emoji848][emoji848]
Na kuna wakati kwenye ile faulo, alishika mpira huku akipiga stori na Aucho kwa tabasamu mwanana..!! Yule bado wetu, MAKOLO ndo wamemlostisha..!!Mechi imeisha YANGA 3___AZAM2 FEI TOTO anatabasam tu na washikaji wake kina AUCHO kama vile yeye hayo matokeo hayamhusu. DOGO alijichanganya sana kuhusu like sakata lake na INJINIA.
Jana kuna mbumbumbu FC kadhaa wakati wa kuangalia mechi, walikuwa wanaropoka, msituumizie mchezaji wetu wa mwakani..!!
Leo na Wewe umeanzisha Uzi JamiiForums? Nahisi uwepo wa Mvua Kubwa nchini.Once mwananchi always mwananchi. Huyu dogo Feisal bado ana mapenzi makubwa sana na Yanga. Mechi ya jana amecheza kinazi. Amecheza chini ya kiwango chake. Kuna baadhi ya mashuti alikuwa anajipigisha fyongo ili mradi asilete madhara kwenye klabu yake hiyo ya Zamani.
kwa watu wanao jua kusoma body language/ body gestures ( body movement) za mtu na ambao walimtazama Feisal kwenye mechi ya jana, wanaweza kukubaliana nami pasi na shaka yoyote ile kwamba Feisal bado ana mapenzi makubwa na Yanga.
# usikute jana dogo alienda kushangilia chooni
Charistimatic Fella , entertainer and game changer.Leo na Wewe umeanzisha Uzi JamiiForums? Nahisi uwepo wa Mvua Kubwa nchini.
Jamani msiache Kuuchangia huu Uzi ili usije Ukamdodea bure na akajiona hathaminiwi nanyi.
Haya LIKUD nimeshakupigia Promo huu Uzi wako na Watu wakishaona tu hii ID yangu ya GENTAMYCINE imechangia watafurika hivyo usiache tu Kunishukuru na Kunipongeza sawa?
Watu tuna Nyota zetu Kali sana duniani.
Kwanini tusitumie gas yetu?Once mwananchi always mwananchi. Huyu dogo Feisal bado ana mapenzi makubwa sana na Yanga. Mechi ya jana amecheza kinazi. Amecheza chini ya kiwango chake. Kuna baadhi ya mashuti alikuwa anajipigisha fyongo ili mradi asilete madhara kwenye klabu yake hiyo ya Zamani.
kwa watu wanao jua kusoma body language/ body gestures ( body movement) za mtu na ambao walimtazama Feisal kwenye mechi ya jana, wanaweza kukubaliana nami pasi na shaka yoyote ile kwamba Feisal bado ana mapenzi makubwa na Yanga.
# usikute jana dogo alienda kushangilia chooni
🤣🤣🤣🤣🤣Leo na Wewe umeanzisha Uzi JamiiForums? Nahisi uwepo wa Mvua Kubwa nchini.
Jamani msiache Kuuchangia huu Uzi ili usije Ukamdodea bure na akajiona hathaminiwi nanyi.
Haya LIKUD nimeshakupigia Promo huu Uzi wako na Watu wakishaona tu hii ID yangu ya GENTAMYCINE imechangia watafurika hivyo usiache tu Kunishukuru na Kunipongeza sawa?
Watu tuna Nyota zetu Kali sana duniani.
Ndio mpira ulivyo sio, mpira sio vitaNa kuna wakati kwenye ile faulo, alishika mpira huku akipiga stori na Aucho kwa tabasamu mwanana..!! Yule bado wetu, MAKOLO ndo wamemlostisha..!!
GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUECharistimatic Fella , entertainer and game changer.
Kumbe Uzi wako usipopata comments huwaga ni issue kwako? Ina ku affect kisaikolojia? And u think I am you?GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE
Haya LIKUD unaona sasa Uzi wako unavyoanza Kuchangamkiwa na Watu ( Members ) baada ya ID yangu hii Kuonekana nayo imechangia?
Uzi ulikuwa Unakudodea. Nishukuru sana sawa? Ukiambiwa GENTAMYCINE nina NYOTA KALI uwe Unakubali.