Analysis ya body language: Feisal bado ana mapenzi makubwa sana na Yanga

Hivi wewe jamaa una familia kweli? [emoji23]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Eti chooni

Aaahaaa
 
Sidhani kama uko sahihi game ilikuwa ngumu sana hupaswi kumlaumu mimi nadhani alikabwa ipasavyo
 
Mtu analipwa mshahara wa mamilioni halafu acheze chini ya Kiwango kwa makusudi ili iweje ?? kwani hawezi kuzidiwa kiwango na wapinzani wake ? Hukuona alivyopambana Mpaka na kucheza rafu ulitaka apambanaje ili kuonyesha kuwa amedhamiria ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…