Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Mnaokota wanawake mitaani wakiwabadilikia mnakuja kulialia hapa! Zaba vibao akili zimkae sawa atasema! Au fukuza ajifunze kutii mamlaka ya baba/mmeLeo wakati narudi nyumbani nimemkuta Mwanamke wangu anaangalia Tv sebuleni, nikamsalimia akakaa kimya.
Nimemuuliza shida ni nini, eti anasema "usilolijua ni sawa na usiku wa giza". Nimejaribu kumuuliza anamaanisha kitu gani ila akanikalia kimya.
Wakuu nimeshindwa kula, maana nahisi labda atakuwa kaniwekea vitu vya ajabu kwenye Chakula.
Kila nikimuuliza sababu ya yeye kubadilika ghafra ni nini hataki kusema. Naomba ushauri nifanyeje Wakuu.
Hata hivyo wewe kama mkatoriki oa mwanaume kama wanawake wanazinguaLeo wakati narudi nyumbani nimemkuta Mwanamke wangu anaangalia Tv sebuleni, nikamsalimia akakaa kimya.
Nimemuuliza shida ni nini, eti anasema "usilolijua ni sawa na usiku wa giza". Nimejaribu kumuuliza anamaanisha kitu gani ila akanikalia kimya.
Wakuu nimeshindwa kula, maana nahisi labda atakuwa kaniwekea vitu vya ajabu kwenye Chakula.
Kila nikimuuliza sababu ya yeye kubadilika ghafra ni nini hataki kusema. Naomba ushauri nifanyeje Wakuu.
Tupo hapa Dar. na mke wangu tunatoka mkoani anafanya kazi na mm nafanya kazi tumefanikiwa tupo kwetu najiuliza nikimuambia rudi kwenu maana yake aache kazi? Mmh! Arudi kwao Songea? Au akapange?Huwa nashangaa iweje kurudishwa nyumbani iwe adhabu, kwangu itakuwa vacation.
I Miss home[emoji24]
Sijazoea kupiga wanawake Mkuu, ila this time nitajaribu.Mnaokota wanawake mitaani wakiwabadilikia mnakuja kulialia hapa! Zaba vibao akili zimkae sawa atasema! Au fukuza ajifunze kutii mamlaka ya baba/mme
😂😂😂Mpeleke White sand au samaki samaki mliman city usiku wa leo ukiona hajakujibu chochote ujue watoto wote ulio zaa nae siyo wako..
Mi nahisi ni KAHAWA tena ile Kapuchino😂Natumai hizi ndio chai zenyewe ulizosema utaanza kutuletea.
Nahisi hizi ID mbili ni Moja😆😆We ni mroma mkatoliki?
Kwa nini kiongozi?Nahisi hizi ID mbili ni Moja😆😆
Mbona majibu yenu yanaendana kama Mwangwi?Kwa nini kiongozi?
Huyo anajiita Maghayo akili huwa hana, analeta mada za Israel na Palestina kwenye uzi mtu anaomba ushauri. Siwezi kukosa akili kiasi hiko. Niombe radhi.Mbona majibu yenu yanaendana kama Mwangwi?
endelea kutimiza wajibu wako kwenye ndoa,kaa kikya atafunguka tuLeo wakati narudi nyumbani nimemkuta Mwanamke wangu anaangalia Tv sebuleni, nikamsalimia akakaa kimya.
Nimemuuliza shida ni nini, eti anasema "usilolijua ni sawa na usiku wa giza". Nimejaribu kumuuliza anamaanisha kitu gani ila akanikalia kimya.
Wakuu nimeshindwa kula, maana nahisi labda atakuwa kaniwekea vitu vya ajabu kwenye Chakula.
Kila nikimuuliza sababu ya yeye kubadilika ghafra ni nini hataki kusema. Naomba ushauri nifanyeje Wakuu.
Piga nyeto mbele yake ulikaribia kumwaga msogelee halafu mmwagie yeye kisirani atachopata hapo atafunguka Kila kitu.Mnaambiwa ishi nao Kwa akili hamuelewi.
Acha hii Tabia. Acha kabisa.Mkuu jitafakari Kuna kitu utakuwa umefanya na ameskia au amekiona. Angalia mwenendo wako siku za hivi karibuni, wanawake ndo walivyo.
Ataenda kupanga. Hawezi akaharibu kazi kwaajili yako.Tupo hapa Dar. na mke wangu tunatoka mkoani anafanya kazi na mm nafanya kazi tumefanikiwa tupo kwetu najiuliza nikimuambia rudi kwenu maana yake aache kazi? Mmh! Arudi kwao Songea? Au akapange?
Ubaya uko wapi?Usiseme hivyo Mkuu, sio vizuri.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue