Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Mnaokota wanawake mitaani wakiwabadilikia mnakuja kulialia hapa! Zaba vibao akili zimkae sawa atasema! Au fukuza ajifunze kutii mamlaka ya baba/mmeLeo wakati narudi nyumbani nimemkuta Mwanamke wangu anaangalia Tv sebuleni, nikamsalimia akakaa kimya.
Nimemuuliza shida ni nini, eti anasema "usilolijua ni sawa na usiku wa giza". Nimejaribu kumuuliza anamaanisha kitu gani ila akanikalia kimya.
Wakuu nimeshindwa kula, maana nahisi labda atakuwa kaniwekea vitu vya ajabu kwenye Chakula.
Kila nikimuuliza sababu ya yeye kubadilika ghafra ni nini hataki kusema. Naomba ushauri nifanyeje Wakuu.