Anamaanisha nini huyu Mwanamke

Anamaanisha nini huyu Mwanamke

Leo wakati narudi nyumbani nimemkuta Mwanamke wangu anaangalia Tv sebuleni, nikamsalimia akakaa kimya.

Nimemuuliza shida ni nini, eti anasema "usilolijua ni sawa na usiku wa giza". Nimejaribu kumuuliza anamaanisha kitu gani ila akanikalia kimya.

Wakuu nimeshindwa kula, maana nahisi labda atakuwa kaniwekea vitu vya ajabu kwenye Chakula.

Kila nikimuuliza sababu ya yeye kubadilika ghafra ni nini hataki kusema. Naomba ushauri nifanyeje Wakuu.
Mnaokota wanawake mitaani wakiwabadilikia mnakuja kulialia hapa! Zaba vibao akili zimkae sawa atasema! Au fukuza ajifunze kutii mamlaka ya baba/mme
 
Hata hivyo wewe kama mkatoriki oa mwanaume kama wanawake wanazingua
 
Huwa nashangaa iweje kurudishwa nyumbani iwe adhabu, kwangu itakuwa vacation.
I Miss home[emoji24]
Tupo hapa Dar. na mke wangu tunatoka mkoani anafanya kazi na mm nafanya kazi tumefanikiwa tupo kwetu najiuliza nikimuambia rudi kwenu maana yake aache kazi? Mmh! Arudi kwao Songea? Au akapange?
 
Mnaokota wanawake mitaani wakiwabadilikia mnakuja kulialia hapa! Zaba vibao akili zimkae sawa atasema! Au fukuza ajifunze kutii mamlaka ya baba/mme
Sijazoea kupiga wanawake Mkuu, ila this time nitajaribu.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Leo wakati narudi nyumbani nimemkuta Mwanamke wangu anaangalia Tv sebuleni, nikamsalimia akakaa kimya.

Nimemuuliza shida ni nini, eti anasema "usilolijua ni sawa na usiku wa giza". Nimejaribu kumuuliza anamaanisha kitu gani ila akanikalia kimya.

Wakuu nimeshindwa kula, maana nahisi labda atakuwa kaniwekea vitu vya ajabu kwenye Chakula.

Kila nikimuuliza sababu ya yeye kubadilika ghafra ni nini hataki kusema. Naomba ushauri nifanyeje Wakuu.
endelea kutimiza wajibu wako kwenye ndoa,kaa kikya atafunguka tu
 
Mkuu jitafakari Kuna kitu utakuwa umefanya na ameskia au amekiona. Angalia mwenendo wako siku za hivi karibuni, wanawake ndo walivyo.
 
Acha hii Tabia. Acha kabisa.

Mtu akikukwaza unakwenda unamueleza Kuna vitu hupendi, na usingependa viwaletee mvurugano. Huo inaitwa uungwana wa mtu aliyekomaa na kukua.

Mtu akitaka usome akili yake huo ni utoto. Na watu wazima hawafanyi maswala ya kitoto.

Ikiwa hawezi kukueleza basi na ww tulia. Usikae kwa kujihisi hisi. Inakuondolea kujiamini.
 
Tupo hapa Dar. na mke wangu tunatoka mkoani anafanya kazi na mm nafanya kazi tumefanikiwa tupo kwetu najiuliza nikimuambia rudi kwenu maana yake aache kazi? Mmh! Arudi kwao Songea? Au akapange?
Ataenda kupanga. Hawezi akaharibu kazi kwaajili yako.
 
Usiseme hivyo Mkuu, sio vizuri.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Ubaya uko wapi?
Kama mtu kakwambia rudi kwenu unajiulizaje mara mbili? Unanyanyuka hapo hapo na kuongoza njia.
 
Back
Top Bottom