Anampenda Mume wa Mtu

Nadhani kama ndoa imefungwa kanisani, basi haiwezi kufungwa mara mbili kwa mwanamme mmoja.
Huyo dada anajisumbua kwa kusambaza kadi.
wanaweza kuchukuana na kwenda kuishi ila sio kwa kwa kufanya sherehe kama hiyo, hata jamii haitashiriki.

Au huyo dada hajui kama jamaa kaoa nini? Yawezekana kadanganywa.
 

kwa story ilivyo huyo dada anajua jamaa ana mume na atamwacha mke wake amwoe yy inawezakana kama ndoa yao ni ya kiislam au kimila kama wakurya na wengine possible
 
Huyo dada anayetegemea kuolewa na huyo jamaa atakayemwacha mke wake ni mjinga, period. Kuolewa katika mazingira yenye msingi mbovu kama huo spells disaster in every language.

Ni nini kinachomfanya huyo dada adhanie kuwa na yeye hataachwa na huyo jamaa na amfuate mwanamke mwingine? Na yeye huyo dada katika wanaume woooote walio makapera hajaona wala kupata anayemfaa hadi amsubiri mwanamme ambaye supposedly atamwacha mkewe? Absolutely laughably pathetic.

Heri yetu sisi tulioamua kutokuoa wala kutokuwa kwenye mahusiano na mtu mmoja. Hatuna wasiwasi wa eti nitamegewa demu wangu au kuachwa. Sisi ni kumega kwa kwenda bila kurudi nyuma.
 
Marriage is an overrated institution based on a cycle of insecurity.
 
haya mambo bwana ya kuchanganyikiwa kimapenzi hata msiyasemee.inawezekana kabisa huyo baba akamuacha mkewe na kuoa huyo shoga yenu,au pia shoga akajikuta akiishia kugawa kadi na kubaki na aibu.ila duu ana moyo,yaani kugawa hadi kadi wkt mtu bado yuko na mkewe!!kwanza hivi inakuaje hadi mtu ampende mtu anayejua ana mkewe!!
 

I can speak from experience, but I won't ..he he he..

Kwa kifupi mwache aendelee maana it serves her right. Akija aibika ndo somo litafikia kwenye medula oblongata, bila hivo ataishia kuwalaumu.
 
Alaaaa! watu wanapenda mtu mwenye wake sembuse mke!!
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…