Anampenda Mume wa Mtu

Anampenda Mume wa Mtu

Nadhani kama ndoa imefungwa kanisani, basi haiwezi kufungwa mara mbili kwa mwanamme mmoja.
Huyo dada anajisumbua kwa kusambaza kadi.
wanaweza kuchukuana na kwenda kuishi ila sio kwa kwa kufanya sherehe kama hiyo, hata jamii haitashiriki.

Au huyo dada hajui kama jamaa kaoa nini? Yawezekana kadanganywa.
 
kwa story ilivyo huyo dada anajua jamaa ana mume na atamwacha mke wake amwoe yy inawezakana kama ndoa yao ni ya kiislam au kimila kama wakurya na wengine possible
 
Huyo dada anayetegemea kuolewa na huyo jamaa atakayemwacha mke wake ni mjinga, period. Kuolewa katika mazingira yenye msingi mbovu kama huo spells disaster in every language.

Ni nini kinachomfanya huyo dada adhanie kuwa na yeye hataachwa na huyo jamaa na amfuate mwanamke mwingine? Na yeye huyo dada katika wanaume woooote walio makapera hajaona wala kupata anayemfaa hadi amsubiri mwanamme ambaye supposedly atamwacha mkewe? Absolutely laughably pathetic.

Heri yetu sisi tulioamua kutokuoa wala kutokuwa kwenye mahusiano na mtu mmoja. Hatuna wasiwasi wa eti nitamegewa demu wangu au kuachwa. Sisi ni kumega kwa kwenda bila kurudi nyuma.
 
Marriage is an overrated institution based on a cycle of insecurity.
 
haya mambo bwana ya kuchanganyikiwa kimapenzi hata msiyasemee.inawezekana kabisa huyo baba akamuacha mkewe na kuoa huyo shoga yenu,au pia shoga akajikuta akiishia kugawa kadi na kubaki na aibu.ila duu ana moyo,yaani kugawa hadi kadi wkt mtu bado yuko na mkewe!!kwanza hivi inakuaje hadi mtu ampende mtu anayejua ana mkewe!!
 
Hivi sisi baadhi ya kina dada wanamatatizo gani? Wewe unafahamu vizuri kuwa jamaa ni mume wa mtu na bado unawatangazia watu kwamba atamuacha akuowe wewe. Unauhakika gani kwamba atamuacha mke wake wa zaidi ya miaka 15 na watoto 3 akuowe wewe?
Kuna dada kanikuna kweli aliponiletea kadi ya mchango eti anaolewa wakati jamaa bado anaishi na mkewe. Tatizo dem hajui wife ndiye mwenye mali, there is no way that guy is going to divorce his wife.
Naomba ushauri wa jinsi ya kumshawishi aachane na huyu jamaa kwani he's making her a laughing stock na watu wanamsema lakini hakuna anayetaka kumwambia ukweli.

I can speak from experience, but I won't ..he he he..

Kwa kifupi mwache aendelee maana it serves her right. Akija aibika ndo somo litafikia kwenye medula oblongata, bila hivo ataishia kuwalaumu.
 
haya mambo bwana ya kuchanganyikiwa kimapenzi hata msiyasemee.inawezekana kabisa huyo baba akamuacha mkewe na kuoa huyo shoga yenu,au pia shoga akajikuta akiishia kugawa kadi na kubaki na aibu.ila duu ana moyo,yaani kugawa hadi kadi wkt mtu bado yuko na mkewe!!kwanza hivi inakuaje hadi mtu ampende mtu anayejua ana mkewe!!
Alaaaa! watu wanapenda mtu mwenye wake sembuse mke!!
 
haya mambo bwana ya kuchanganyikiwa kimapenzi hata msiyasemee.inawezekana kabisa huyo baba akamuacha mkewe na kuoa huyo shoga yenu,au pia shoga akajikuta akiishia kugawa kadi na kubaki na aibu.ila duu ana moyo,yaani kugawa hadi kadi wkt mtu bado yuko na mkewe!!kwanza hivi inakuaje hadi mtu ampende mtu anayejua ana mkewe!![/QUOTE]

unatuzingua tu hapa. nani kakwambia wanawakw wanajali whether man is married or not?????????

njuluku tu zinaombea mamy............................
 
wee inaonekana nikibishana nawe kichwa kitaniuma bila sbb ila inavyoonesha hao wanawake ulioongelea ni hao unaokutana nao wewe halafu ukageneralize.acha dharau kwa wanawake wewee si vyema, tumekuzaa na kukukuza,kwani njuluku ndio nini?
 
unaogopa kuumwa kichwa sio??? hahahah.....................hapa ndio the home of great thinkers!!!!!!!!!! hoja lelgelege lazima kichwa kkuume. lakini panado si zipo??? ukiplan kufungua JF unabeba na panado kabisa!!!!!!!!!

wanawake nawaheshimu sana ila experience inaonekana wanapenda sana hela za capchap, ndio maaana mwanume ili uwe malaya lazima uwe na hela , wakati mwanamke ni kinyume chake!!!!!!!!!!!!!!!

shauri basi wenzio, wasikimbilie sana hela, wanawavurugia wote..............

my generalization stands forever...........................
 
duh,mamaaa mbavu zangu,yaani hasa kila akiingia akutane na great thinker wewe lazima kichwa kiume plus plus,maana loh!
 
wee inaonekana nikibishana nawe kichwa kitaniuma bila sbb ila inavyoonesha hao wanawake ulioongelea ni hao unaokutana nao wewe halafu ukageneralize.acha dharau kwa wanawake wewee si vyema, tumekuzaa na kukukuza,kwani njuluku ndio nini?
mama wewe achana nae huyu jamaa,ikiwezekana ruka kwenye forum zingine maana hapa kichwa kitakuuma kweli si utani,tumetoka kumuombea na pearl mchana huu,lakini naona kichaa kimempanda tena.
 
haya mambo bwana ya kuchanganyikiwa kimapenzi hata msiyasemee.inawezekana kabisa huyo baba akamuacha mkewe na kuoa huyo shoga yenu,au pia shoga akajikuta akiishia kugawa kadi na kubaki na aibu.ila duu ana moyo,yaani kugawa hadi kadi wkt mtu bado yuko na mkewe!!kwanza hivi inakuaje hadi mtu ampende mtu anayejua ana mkewe!![/QUOTE]

unatuzingua tu hapa. nani kakwambia wanawakw wanajali whether man is married or not?????????

njuluku tu zinaombea mamy............................

mmh!!!
 
unaogopa kuumwa kichwa sio??? hahahah.....................hapa ndio the home of great thinkers!!!!!!!!!! hoja lelgelege lazima kichwa kkuume. lakini panado si zipo??? ukiplan kufungua JF unabeba na panado kabisa!!!!!!!!!

wanawake nawaheshimu sana ila experience inaonekana wanapenda sana hela za capchap, ndio maaana mwanume ili uwe malaya lazima uwe na hela , wakati mwanamke ni kinyume chake!!!!!!!!!!!!!!!

shauri basi wenzio, wasikimbilie sana hela, wanawavurugia wote..............

my generalization stands forever...........................

keep daring to call urself a great thinker..............

eti ur generalizations stands forever.....kweli akili kichwani!!!!!!!!!!!!

hapo kwenye red kama ni hivi basi ujue u are not the only 'GT' hata hawa unaowadharau wamo kwenye nyumba hii

jifunze matumizi ya lugha bana, pia achana na pride!!!! haikupeleki opote mwisho wake huwa aibu!!!!

kuna watu humu tunawakubali alkini wao hawapigi kelele, hoja zao tu zimetosha sisi kusema kweli 'so and so' ni wakali......
 
sister we niachie hyu qeen tutaelewana naye tu, tiumetoka naye mbali.................. halafu raha ya lugha, you can twist in either way,

anayway leo nimekuahidi kuwa you are there to be obeyed, I obey you. big up dear, respect for ever. ladies juu, juu, juuu, juu zaidiiiiiiiiiiiiii

thanks for advice
 
tatizo u r not keeping ur word!!!

sas ntakufata kila thread nikuchunge jamani!!!!??
 
Back
Top Bottom