tatizo u r not keeping ur word!!!
sas ntakufata kila thread nikuchunge jamani!!!!??
Kumbe ile sala ya Pearl ilikuwa kwa ajili ya AK, hahahah!
......Sala inaendelea!!
basi jioni ya leo, tunapokwenda kujinyanyua juu ya uso wa bwana na kujinyenyekesha machoni pake, na tazama bwana tunakwenda kuwaweka hata maadui zetu mbele zako bwana. wewe ndiye unayejua kilichochema wala sisi hatujui kitu.
Jioni ya leo bwana, matazame mtumishi wako Pearl, tazama hata therengeti theregeti wake bwana, huku ukimwangazia nuru ya uso wako bwana Mungu wa majeshi.
Tazama hata AK anapotaka kupita kwenye yale mambo yetu bwana, sauti itoke na isikike masikioni mwake
"therengeti hazifai kwa akili yako" na akimbie mahali hapo bwana.