Anampenda Mume wa Mtu

Anampenda Mume wa Mtu

we are all human beings with our faults, he might have loved the wife but that love is not there anymore and has found love with that girl, so let it be, nothing can stop it now, you dont know the issues they had with wife of 15years, i have seen royal family breaking up and even leaving prestigious title for love..and this man ( prince ) married a virgin D left her for an 'old' woman not even dogodogo, so issues of love are so complicated and they are understood best by the people in that circle...anaweza akamwacha au asimwache, tell your lady friend that its the 'same script different cast' and by the way, dont lay your entire happiness on a man/woman...
oh what a friend we have in Jesus...this should comfort you to know someone cares ! peace
 
Hivi sisi baadhi ya kina dada wanamatatizo gani? Wewe unafahamu vizuri kuwa jamaa ni mume wa mtu na bado unawatangazia watu kwamba atamuacha akuowe wewe. Unauhakika gani kwamba atamuacha mke wake wa zaidi ya miaka 15 na watoto 3 akuowe wewe?
Kuna dada kanikuna kweli aliponiletea kadi ya mchango eti anaolewa wakati jamaa bado anaishi na mkewe. Tatizo dem hajui wife ndiye mwenye mali, there is no way that guy is going to divorce his wife.
Naomba ushauri wa jinsi ya kumshawishi aachane na huyu jamaa kwani he's making her a laughing stock na watu wanamsema lakini hakuna anayetaka kumwambia ukweli.





there is no way utamshauri huyo mtu akuelewe na kuachana na mpango wake huo wa kuolewa. ukizingatia kwamba keshaanza na kusambaza kadi za maandalizi. hivo there is no turning back anymore.

bora uendelee kutunza ndoa yako tu kama unyo...!!!
 
there is no way utamshauri huyo mtu akuelewe na kuachana na mpango wake huo wa kuolewa. ukizingatia kwamba keshaanza na kusambaza kadi za maandalizi. hivo there is no turning back anymore.

bora uendelee kutunza ndoa yako tu kama unyo...!!!

Noted. Sijaolewa bado natafuta.
 
Back
Top Bottom