Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Ni mwanamke wa kwanza kumjua maishani .. Na ndio amekuwa mke wangu ... Ndio demu wangu wa kwanza 1999 primary za kinguonguo) na mpaka leo ndio mke wangu nlikutana nae tena 2002 ...Wa ndoa ....
Baada ya kujifungua huyu mtoto wetu ... Yaaani alinipotezea kabisa ....hamu ya tendo sijui ilimpoteaaa. Kila ukijaribu kelele amekosea akatumia uzazi wa mpango '"vijiti" .. Yaani ratiba zake hazisomi kabisaaaaa .... Mwaka wa tatu (kuna uzi unaongelea WANAWAKE WANAOMBA UWAZALISHE ) "Nlicoment , kuna mwamanke aliniomba ni kisanga' ) ...
Kujaribu imooo ... Nilimkataaa mtoto .. Sababu alisema atamlea .. Baafa ya muda wa kuzaa akalazimisha nimleee na kumtunza mtoto . si ndio tukaenda kupima .. "Nilisema kwenye ule uzi.. Ki kisanga" .... Shida ipi wapi !!?? Sasa!!? Ni wife kujua na yeye kutumia vijiti ... Vliimbadirishia mzunguko.. Lakini hatupati mtoto .... Nje wapo wawili ... Kwenye ndoa yupo mmoja . na tangu atumie vijiti vile hajapata mimba...katika wawili hao wa nje ni mmoja tu tumepiga DNA ...
Na imekubali ..maana wife alisema akiwa wako .aje hapa ila mzazi wake sitaki kumuona ... Na anamlea vizuri tu. .. Ila mtoto wangu wa kwanza ..ambaye nimezaaa na wife ni bonge la kopi hata DNA sitaki ... Na yule mwingine ndii hiiij sitaki ajue