Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 413
Nina demu wangu niko nae kwa mwaka wa pili sasa. siku za karibuni amenijia na suala jipya kiasi ananichanganya. Ni mara ya tatu sasa kila ninapotaka kummega anadai hajisikii hamu, mwanzo nilidhani ni uchovu wa kazi zake, lakini baada ya kumsumbua sana akadai kuwa yeye hujichua kiasi ambacho anapokuwa na mimi hamu ya kufanya mapenzi huwa inatoweka. Lakini demu nampenda sana hata anachonieleza naona kama ananivunga huenda amepata jamaa lingine. Simuelewi kabisa....