Basi kaa ujue utakufa masikini.
Acha ujinga kwenye biashara, uwe tayari kumfukuza hata mama yako kama hayupo serious. Kama huliwezi hilo wewe sio entrepreneur unajifanya tu, siku moja biashara hiyo ita-fail I promise you.
Weka kitu kimoja akilini, umezaliwa mwenyewe, utazikwa mwenyewe au hutozikwa it doesn't matter, hakuna anayekujali sana tofauti na wewe, so kabla ya kumfikiria huyo unayetaka kumfukuza jifikirie wewe mwenyewe kwanza. Hata kwenye ndege wanasema hatari ikitokea vaa mask wewe kwanza ndiyo usaidie wengine kuvaa la si hivyo unakufa.