Ananiingiza hasara duka langu!!, anatia huruma usoni, sina ujasiri wa kumfukuza, nipeni mbinu kumfukuza!!!

Ananiingiza hasara duka langu!!, anatia huruma usoni, sina ujasiri wa kumfukuza, nipeni mbinu kumfukuza!!!

Mwizi anatia huruma
Hizo hela sio jasho lako Mkuu au na wewe unazipata kiujanja


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
jaribu kukaa naye chini mhoji vizuri huenda hujailinda vizuri biashara yako unaweza kumfukuza kumbe tatizo cio yeye,,,na unaweza kumwacha kwa kumwonea huruma kumbe tatizo ni yeye....fanya uchunguzi usikurupuke mana kubadiri2 wafanyakazi nayo ni risk pia....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wezi sehemu zabiashara wapo wengi sana tena wengine huwezi kuwazania kabisa ko umakini wahali yajuu unahitajika mana uzembe kidogo sana unakughalimu..nijuzi tu maeneo ya sokoni nimekuta mtoto mdogo mwenye umri usiozidi miaka 14 anatandikwa bakora akiwa mtupu yn amevuliwa nguo zote huku kundi lawatu limemzingira ..kisa chenyewe nikwamba kuna jamaa anaduka kubwa lavyombo nanje yaduka kuna meza imemwagwa viatu vya mtumba, madogo walikua watatu wakapiga ramani kwene meza nje hakuna mtu kuchek dukani nako hakuna mtu madogo wawili wakabaki nje kusoma kama kuna muuzaji yoyote atatokea alaf mmoja akaingia dukani akazama kwene droo ya hela ile anaanza kuchota tu jamaa katokea sasa upande aliotokea hata wale madogo waliobaki nje hawakuweza kumuona ko ikawa kama amewashtukiza, madogo wakakimbia wakamuachia msala mwenzao aliyopo ndani amekutwa anaendelea kusweka hela mifukoni akakamatwa kama kuku ikabidi avuliwe nguo zote kwanza ili kama kuna pesa ameficha hata kwene chupi zote zionekane
 
Basi kaa ujue utakufa masikini.

Acha ujinga kwenye biashara, uwe tayari kumfukuza hata mama yako kama hayupo serious. Kama huliwezi hilo wewe sio entrepreneur unajifanya tu, siku moja biashara hiyo ita-fail I promise you.

Weka kitu kimoja akilini, umezaliwa mwenyewe, utazikwa mwenyewe au hutozikwa it doesn't matter, hakuna anayekujali sana tofauti na wewe, so kabla ya kumfikiria huyo unayetaka kumfukuza jifikirie wewe mwenyewe kwanza. Hata kwenye ndege wanasema hatari ikitokea vaa mask wewe kwanza ndiyo usaidie wengine kuvaa la si hivyo unakufa.
 
Back
Top Bottom