Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Bukoba kuna waislamu wengi tangu lin, mbona hayo yapo bara kweny wagalatia wengi mikoa ya waislamu hakuna ujinga huo...Inachangiwa na ushamba wenukipindi cha Magufuli hakuna mtoto albino aliyeuliwa, na hata Mkapa.
watoto waliuliwa awamu ya 4 na sasa hivi, Magufuli alikomesha mauaji ya watoto uliotamalaki awamu ya 4 ndani ya miezi michache tu.
kwa miaka 5 2015-2021 hatukusikia mtoto kuuliwa popote, sasa mauaji yameanza tena, kwa nini unafikiri? nani yuko nyuma yake? na kwa nini serikali haulindi watoto wetu?
Bukoba kuna waislamu wengi tangu lin, mbona hayo yapo bara kweny wagalatia wengi mikoa ya waislamu hakuna ujinga huo...Inachangiwa na ushamba wenu
Kaskazini ulishasikia wakiua Albino au vikongwe? Ushirikana wa kutoa uhai wa watu wasio na hatia ni wa nini huo.Mkoa gani ambao hauna ushirika hapa bongo?
Ukanda wa kamachumu izimbya katoro mpaka kyaka huo ni mwambao mmoja ndio eneo pekee kwa kagera lililo na waisilam wengiBukoba kuna waislamu wengi tangu lin, mbona hayo yapo bara kweny wagalatia wengi mikoa ya waislamu hakuna ujinga huo...Inachangiwa na ushamba wenu
Wewe unafurahia vifo kama hivyo au ametoa siri zenu ndio maana umepaniki.Msomi wa kiwango cha udaktari kichwani amejaa ushirikina
Hakuna sehemu ya waislamu TZ kuna mauaji ya ALBINO , huku hakuna mambo ya kuuana majambazi aynatokea baraUkanda wa kamachumu izimbya katoro mpaka kyaka huo ni mwambao mmoja ndio eneo pekee kwa kagera lililo na waisilam wengi
Nilikuwa nakujulisha tu hilo eneo walivyojazana Islamic ili upunguze kukaririHakuna sehemu ya waislamu TZ kuna mauaji ya ALBINO , huku hakuna mambo ya kuuana majambazi aynatokea bara
Unasema kuua albino , watu wana makafara nahisi wewe bado mdogo sana huko ndio namba moja , waulize watu wa Mererani watoto wadogo wanachinjwa daily .Kaskazini ulishasikia wakiua Albino au vikongwe? Ushirikana wa kutoa uhai wa watu wasio na hatia ni wa nini huo.
Mbona tusisikie kwenye vyombo vya habari wewe acha maneno yakuokoteza huko.Unasema kuua albino , watu wana makafara nahisi wewe bado mdogo sana huko ndio namba moja , waulize watu wa Mererani watoto wadogo wanachinjwa daily .
Punguza ujinga sio waisNilikuwa nakujulisha tu hilo eneo walivyojazana Islamic ili upunguze kukariri
Unayajua mambo ya migodini wewe ? Hata kanda ya ziwa ni sababu ya migodi watu wanachukua damu ...Pwani hakuna mambo hayo majambazi na mauaji ya albino nimesikia bara tu .Mbona tusisikie kwenye vyombo vya habari wewe acha maneno yakuokoteza huko.
Kutosikia haimaanishi hayatokei, kipindi kile unaambiwa albino hawafi wanapotea tu ulikua unaelewa nini?kipindi cha Magufuli hakuna mtoto albino aliyeuliwa, na hata Mkapa.
watoto waliuliwa awamu ya 4 na sasa hivi, Magufuli alikomesha mauaji ya watoto uliotamalaki awamu ya 4 ndani ya miezi michache tu.
kwa miaka 5 2015-2021 hatukusikia mtoto kuuliwa popote, sasa mauaji yameanza tena, kwa nini unafikiri? nani yuko nyuma yake? na kwa nini serikali haulindi watoto wetu?
Wapi we kenge wa CCM?Tunarudi kule kule 🐼
Kwa Kamanda Mbwa Kachoka 🐼Wapi we kenge wa CCM?
DuhAitwe kwenye ile Kamati ya hadhi na Maadili ili athibitishe hilo.
Ndio nini?Nyanoko
Mbona Zanzibar Kuna waislamu awamu zote na hakuna mauaji ya albino?!kipindi cha Magufuli hakuna mtoto albino aliyeuliwa, na hata Mkapa.
watoto waliuliwa awamu ya 4 na sasa hivi, Magufuli alikomesha mauaji ya watoto uliotamalaki awamu ya 4 ndani ya miezi michache tu.
kwa miaka 5 2015-2021 hatukusikia mtoto kuuliwa popote, sasa mauaji yameanza tena, kwa nini unafikiri? nani yuko nyuma yake? na kwa nini serikali haulindi watoto wetu?
Mbona Zanzibar Kuna waislamu awamu zote na hakuna mauaji ya albino?!
Mjinga mwenyewe na ukoo wakoPunguza ujinga sio wais
Unayajua mambo ya migodini wewe ? Hata kanda ya ziwa ni sababu ya migodi watu wanachukua damu ...Pwani hakuna mambo hayo majambazi na mauaji ya albino nimesikia bara tu .