Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Bukoba kuna waislamu wengi tangu lin, mbona hayo yapo bara kweny wagalatia wengi mikoa ya waislamu hakuna ujinga huo...Inachangiwa na ushamba wenukipindi cha Magufuli hakuna mtoto albino aliyeuliwa, na hata Mkapa.
watoto waliuliwa awamu ya 4 na sasa hivi, Magufuli alikomesha mauaji ya watoto uliotamalaki awamu ya 4 ndani ya miezi michache tu.
kwa miaka 5 2015-2021 hatukusikia mtoto kuuliwa popote, sasa mauaji yameanza tena, kwa nini unafikiri? nani yuko nyuma yake? na kwa nini serikali haulindi watoto wetu?