Pre GE2025 Ananilea Nkya: Kipindi cha nyuma kuelekea uchaguzi mkuu tulishuhudia mauaji ya Albino, mwaka huu tayari ukatili huo umeanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
kipindi cha Magufuli hakuna mtoto albino aliyeuliwa, na hata Mkapa.

watoto waliuliwa awamu ya 4 na sasa hivi, Magufuli alikomesha mauaji ya watoto uliotamalaki awamu ya 4 ndani ya miezi michache tu.

kwa miaka 5 2015-2021 hatukusikia mtoto kuuliwa popote, sasa mauaji yameanza tena, kwa nini unafikiri? nani yuko nyuma yake? na kwa nini serikali haulindi watoto wetu?
Bukoba kuna waislamu wengi tangu lin, mbona hayo yapo bara kweny wagalatia wengi mikoa ya waislamu hakuna ujinga huo...Inachangiwa na ushamba wenu
 
lkn kwa nini mauaji hutokea mtawala akiwa muislamu wa tanzagiza tu? je, imetokea tu kwa bahati mbaya wakati ambapo mtawala ni muislamu wa tanzagiza au kuna kitu zaidi ya hapo?
 
Bukoba kuna waislamu wengi tangu lin, mbona hayo yapo bara kweny wagalatia wengi mikoa ya waislamu hakuna ujinga huo...Inachangiwa na ushamba wenu
Ukanda wa kamachumu izimbya katoro mpaka kyaka huo ni mwambao mmoja ndio eneo pekee kwa kagera lililo na waisilam wengi
 
Hakuna sehemu ya waislamu TZ kuna mauaji ya ALBINO , huku hakuna mambo ya kuuana majambazi aynatokea bara
 
Nilikuwa nakujulisha tu hilo eneo walivyojazana Islamic ili upunguze kukariri
 
Kaskazini ulishasikia wakiua Albino au vikongwe? Ushirikana wa kutoa uhai wa watu wasio na hatia ni wa nini huo.
Unasema kuua albino , watu wana makafara nahisi wewe bado mdogo sana huko ndio namba moja , waulize watu wa Mererani watoto wadogo wanachinjwa daily .
 
Mbona tusisikie kwenye vyombo vya habari wewe acha maneno yakuokoteza huko.
 
Nilikuwa nakujulisha tu hilo eneo walivyojazana Islamic ili upunguze kukariri
Punguza ujinga sio wais
Mbona tusisikie kwenye vyombo vya habari wewe acha maneno yakuokoteza huko.
Unayajua mambo ya migodini wewe ? Hata kanda ya ziwa ni sababu ya migodi watu wanachukua damu ...Pwani hakuna mambo hayo majambazi na mauaji ya albino nimesikia bara tu .
 
kipindi cha Magufuli hakuna mtoto albino aliyeuliwa, na hata Mkapa.

watoto waliuliwa awamu ya 4 na sasa hivi, Magufuli alikomesha mauaji ya watoto uliotamalaki awamu ya 4 ndani ya miezi michache tu.

kwa miaka 5 2015-2021 hatukusikia mtoto kuuliwa popote, sasa mauaji yameanza tena, kwa nini unafikiri? nani yuko nyuma yake? na kwa nini serikali haulindi watoto wetu?
Kutosikia haimaanishi hayatokei, kipindi kile unaambiwa albino hawafi wanapotea tu ulikua unaelewa nini?
 
kipindi cha Magufuli hakuna mtoto albino aliyeuliwa, na hata Mkapa.

watoto waliuliwa awamu ya 4 na sasa hivi, Magufuli alikomesha mauaji ya watoto uliotamalaki awamu ya 4 ndani ya miezi michache tu.

kwa miaka 5 2015-2021 hatukusikia mtoto kuuliwa popote, sasa mauaji yameanza tena, kwa nini unafikiri? nani yuko nyuma yake? na kwa nini serikali haulindi watoto wetu?
Mbona Zanzibar Kuna waislamu awamu zote na hakuna mauaji ya albino?!
 
Punguza ujinga sio wais

Unayajua mambo ya migodini wewe ? Hata kanda ya ziwa ni sababu ya migodi watu wanachukua damu ...Pwani hakuna mambo hayo majambazi na mauaji ya albino nimesikia bara tu .
Mjinga mwenyewe na ukoo wako
 
Back
Top Bottom