Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Aliharibu nchi na kuongoza kishamba, ndio tunavyoambiwa kuhusu uongozi wa Magu.Kwani Magu alifanyeje kuzuia mauaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliharibu nchi na kuongoza kishamba, ndio tunavyoambiwa kuhusu uongozi wa Magu.Kwani Magu alifanyeje kuzuia mauaji?
Atakuambia walikuwa wanauawa ila wanaficha taarifa zaokipindi cha Magufuli hakuna mtoto albino aliyeuliwa, na hata Mkapa.
watoto waliuliwa awamu ya 4 na sasa hivi, Magufuli alikomesha mauaji ya watoto uliotamalaki awamu ya 4 ndani ya miezi michache tu.
kwa miaka 5 2015-2021 hatukusikia mtoto kuuliwa popote, sasa mauaji yameanza tena, kwa nini unafikiri? nani yuko nyuma yake? na kwa nini serikali haulindi watoto wetu?
Fala mkubwaMjinga mwenyewe na ukoo wako
kipindi cha Magufuli hakuna mtoto albino aliyeuliwa, na hata Mkapa.
watoto waliuliwa awamu ya 4 na sasa hivi, Magufuli alikomesha mauaji ya watoto uliotamalaki awamu ya 4 ndani ya miezi michache tu.
kwa miaka 5 2015-2021 hatukusikia mtoto kuuliwa popote, sasa mauaji yameanza tena, kwa nini unafikiri? nani yuko nyuma yake? na kwa nini serikali haulindi watoto wetu?
Albino wote wapelekwe wakaishi DSM,huko mikowani inaonekana hawako salama na huu uchaguzi unao kuja!!Ina sikitisha sana, ndugu zetu Wahaya wa Kamachumu na nyie kumbe mna imani za namna hiyo. Kwamba utoe uhai wa mtoto Albino asiye na hatia ili ufanikiwe.
DSMMkoa gani ambao hauna ushirika hapa bongo?
Na Meli ilizama watu zaidi ya 500 wakapoteaAnanilea Nkya kupitia mtandao wa X amesema kuwa miaka ya nyuma tulishuhudia mauaji ya albino kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu.
ALBINO: MSIMU wa uchaguzi umekaribia, miaka ya nyuma nyakati kama hizi tulishuhudia mauaji ya KIKATILI ya watu wenye UALBINO kwa sababu za kishirikina. Mwaka huu tayari ukatili huo umeshaanza. Je kama Taifa tufanyeje kuwahakikishia ndugu zetu hawa ulinzi?
Pia soma: