Pre GE2025 Ananilea Nkya: Kipindi cha nyuma kuelekea uchaguzi mkuu tulishuhudia mauaji ya Albino, mwaka huu tayari ukatili huo umeanza

Pre GE2025 Ananilea Nkya: Kipindi cha nyuma kuelekea uchaguzi mkuu tulishuhudia mauaji ya Albino, mwaka huu tayari ukatili huo umeanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
kipindi cha Magufuli hakuna mtoto albino aliyeuliwa, na hata Mkapa.

watoto waliuliwa awamu ya 4 na sasa hivi, Magufuli alikomesha mauaji ya watoto uliotamalaki awamu ya 4 ndani ya miezi michache tu.

kwa miaka 5 2015-2021 hatukusikia mtoto kuuliwa popote, sasa mauaji yameanza tena, kwa nini unafikiri? nani yuko nyuma yake? na kwa nini serikali haulindi watoto wetu?
Atakuambia walikuwa wanauawa ila wanaficha taarifa zao
 
kipindi cha Magufuli hakuna mtoto albino aliyeuliwa, na hata Mkapa.

watoto waliuliwa awamu ya 4 na sasa hivi, Magufuli alikomesha mauaji ya watoto uliotamalaki awamu ya 4 ndani ya miezi michache tu.

kwa miaka 5 2015-2021 hatukusikia mtoto kuuliwa popote, sasa mauaji yameanza tena, kwa nini unafikiri? nani yuko nyuma yake? na kwa nini serikali haulindi watoto wetu?
WhatsApp Image 2024-06-19 at 21.14.20.jpeg

Soma hao wala nguruwe wenzio ndio wahusika tena na paroko...Kuwa na akili .
 
Na bado walipita bila kupingwa kwamba wenzao hajui KUJAZA fomu.
 
Ina sikitisha sana, ndugu zetu Wahaya wa Kamachumu na nyie kumbe mna imani za namna hiyo. Kwamba utoe uhai wa mtoto Albino asiye na hatia ili ufanikiwe.
Albino wote wapelekwe wakaishi DSM,huko mikowani inaonekana hawako salama na huu uchaguzi unao kuja!!
 
Ananilea Nkya kupitia mtandao wa X amesema kuwa miaka ya nyuma tulishuhudia mauaji ya albino kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu.

ALBINO: MSIMU wa uchaguzi umekaribia, miaka ya nyuma nyakati kama hizi tulishuhudia mauaji ya KIKATILI ya watu wenye UALBINO kwa sababu za kishirikina. Mwaka huu tayari ukatili huo umeshaanza. Je kama Taifa tufanyeje kuwahakikishia ndugu zetu hawa ulinzi?

Pia soma:
Na Meli ilizama watu zaidi ya 500 wakapotea
 
Back
Top Bottom