Elections 2015 Ananilea Nkya: Magufuli akichaguliwa Ufisadi na Umasikini vitaongezeka

CCM Hawafai, Magufuli Hana Ubavu wowote Kwa Maana Majizi ni Wengi ndani ya CCM.

Majizi na Watu Kwenye viburi ndani ya CCM Hawezi Kuwafanyia Kitu.

NyumbaniInaendelea Kuungua,Ni Busara waendelee Kuzima moto ambao Kimsingi Hawatauzima

CCM Ndio inaenda na Maji Hivyo..
 
Huyu mama kaishachuja hana jipya chuki tu imemjaa...hata hio makala yake inaonekana alivyojaa chuki leo hana aibu kutaka tumchague fisadi...
 
Akili ya Ananelia Nkya ya ajabu aliyeuza nyumba za Serikali wako nae kakiri kwamba aliuza nyumba za serikali alupokua Waziri mkuu, EPA kesi ziko Mahakamani wengine wamefungwa haoni? Richmond mwenyewe ni Lowasa mahaba yamemtia Upofu, mwandishi gani huyu au ni Kanjanja?
 
Ni mawazo yake. Isije ikawa anasukumwa na unyumbani, ana maana tumpe lowasa ndio atakaeondoa rushwa! Wasomi wetu wanajishusha sana. Waonyeshe utofauti.
 
Tumekuelewa mama, magufuli hawezi kusukuma gari alilolipanda ye mwenyewe... Kura kwa lowasa
 

Issue sio rais anatoka kabila gani, tunachochukia ni watu wa kabila/kanda moja kuanzisha chama ili wachukue hatamu za nchi, mnatutia hasira sana na tunawaambia.
 
Kwa hakika hatuna cha kujaribisha kwa ccm kwa maana mfumo wao wa kiutawala ndiyo ulizaa ufisadi na hatimaye matunda ya umasikini uliokidhiri. Tumchague na tumpe nafasi LOWASSA.

Aliyeiharibu ccm ndo huyo huyo unayempenda
 
Issue sio rais anatoka kabila gani, tunachochukia ni watu wa kabila/kanda moja kuanzisha chama ili wachukue hatamu za nchi, mnatutia hasira sana na tunawaambia.

Chama kipi mkuu cha ukanda vyama vyote vimepata udhamini Tz nzima masuala ya uongozi ni juhudi binafsi bilakujali kabila nimekaa machimboni kwa wasukuma waliotoka ni makabila mengine
 
Huyu mama namheshimu sana, lakini hana jipya, anachokisema ni pumba tupu wala hatuna haja ya kusumbuana naye!

Yaani nyie CCM Ni wezi hadi mnaiba avatar?! Nakuomba achana nayo au nitapeleka malalamiko kwa moderator.
 

Mane no yoote hay a yanatokana na shibe ya mbege asubili aone akiapishwa.
 
Utasikia mapoyoyo yakijani yanavyofokafoka mtaweweseka sana this time ____________ Ukanda hapa watokea wapi ??????????
 
Wapumbavu na malofa sana. Lowasa si ndio fisadi sugu alikuwa ssm? Mnataka tumjaribu kwa lipi? Atuuuze?
 
Ukisema ukweli unakuwa MTU was ovyo lakini ukisema uongo na kudanganya Kama ccm unakuwa was maana..we we ndo jitu LA ovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…